Yaliyonikuta mwaka 2008 nilipopanda basi moja na mama mkwe wangu niliyekuwa namuheshimu

Yaliyonikuta mwaka 2008 nilipopanda basi moja na mama mkwe wangu niliyekuwa namuheshimu

Chai ya moto sana, 2008 basi lina charging syetem?

Bus gani hilo
Safari masaa sita wapi to wapi
Maana usije twambia katav sumbawanga mpaka leo hawana hizi gari
 
Tukitangaza vikao vya wanaume humu hamji wala hamjisumbui ....sasa matokeo yake ni haya.Sheria za wakwe kipengere no nne tulisema ni marufuku kukaa karibu na mkwe wako iwe nyumbani hata kwenye gari.Ww gari lina siti zaidi ya sitini ulishindwa nn kumwambia agent akate tiketi mbili sititofautiau..???
 
2008 basi zilikuwa na chaji. Duh yaani wakati huo hata USB ilikuwa shida, simu nyingi zilikuwa simu za kiswaswadu. Brother hapa unatupiga kamba 😂 😂 😂 😂. 2018 sawa nakubaliana na wewe but 2008 nilikuwa mwaka wa tatu chuo kikuu. Na nilikuwa natumia simu ya button 🔳
Magari classic yalikuwepo mfano MOMBASA RAHA PIA KUNA YALE TOFIQ NA TACKIM PIA KULI KUA NA MABASI YALIYO HUSISHWA NA FREDRICK SUMAYE NIMEYASAHAU JINA.
 
Mwaka 2008 nilipanda basi moja na mama mkwe wangu ambaye nilikuwa ninamuheshimu kuliko hata mama yangu kutokana na umri wake wa makamo (alikuwa mwalimu wa shule ya msingi aliyekaribia kustaafu na mtu wa dini sana).

Kwenye basi nilikaa naye pamoja na safari ilikuwa ya masaa sita (6) na kwa sababu basi lilikuwa classic tuliamini kuwa safari ingeenda vyema pasipo na uchovu (lile basi lilikuwa na sehemu ya kuchajia simu pia kulikuwa na Television).

Kwa kuwa gari lile lilikuwa na Television basi ngoma kadha wa kadha zilianza kuporomoshwa. Wakaanza kupiga nyimbo za kiislamu yaani kaswida hadi zikaisha, zikapigwa gospel za kilokole pamoja na Luturujia za RC nazo zikaisha, wakaingia kwenye zile za kikongo ambazo wasanii wake wana suruali pana (jeje) nazo zikaisha.

Shida ilianza pale zilipoanza kupigwa Bongo flava pamoja na mchanganyiko wa nyimbo za kinaijeria na za kimarekani kwani mbususu za wanawake waliokuwa kwenye videos zilikuwa wazi kama za mbuzi.

Mimi huwa napenda sana kuangalia muziki hivyo kwa sababu nilikuwa na mama mkwe nilishindwa kuangalia zile videos kwa uhuru lakini zile za kidini niliziangalia kwa uhuru huku nikipiga story na mama mkwe juu ya zile nyimbo lakini kwenye hizi zenye uchi nje nje niliona haya.

Mtu mzima secretarybird kwa aibu nikajifanya naangalia nje kupitia dirisha kumbe macho nimeyageuza kimtindo 😂kuelekea kwenye screen yaani macho niliyageuza kama kinyonga ili tu nisipitwe na uhondo na kwa bahati mama mkwe hakujua kama nilikuwa naangalia zile nyimbo😃.

Kwenye sitinya nyuma yetu Wana wawili wa makamo kaanza kunong'onezana, eti "yaani shonga mwenzako naona aibu kuangalia video kama hizi na watoto wetu, hii ni aibu😹"

Ilikuwa patashika nguo kuchanika.

Cc realMamy Mshangazi dot com Anastasia21 Binti Sayuni03 Nusratt BICHWA KOMWE -.
Sasa aibu ya nini kwani mama ako huyo usikute yeye alikua anakushangaa unavyoogopa
 
Tukitangaza vikao vya wanaume humu hamji wala hamjisumbui ....sasa matokeo yake ni haya.Sheria za wakwe kipengere no nne tulisema ni marufuku kukaa karibu na mkwe wako iwe nyumbani hata kwenye gari.Ww gari lina siti zaidi ya sitini ulishindwa nn kumwambia agent akate tiketi mbili sititofautiau..???
Mimi sijui nipoje simuogopi ivyo mama mkwe Bali namuheshimu Sana Ila huwa sinaga hofu ya kulitiliza au kuwa na nizamu ya uoga.

Ningemfuata dereva au wahudumu kuwa ambia wazime mziki wa kihuni 😅😅😅
 
Back
Top Bottom