Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 6,347
- 8,254
Akili za usingiz zimeanzaHizo zilikurahisishia, ungemdandia mama mkwe kwa kuanzisha kimada huenda angekutunuku
Akili za usingiz zimeanzaHizo zilikurahisishia, ungemdandia mama mkwe kwa kuanzisha kimada huenda angekutunuku
Alafu sijui kwann mtu akiongea uongo, kuna point ndogo ndogo ndio hudhihirisha uongo wakd bila matarajio.Nimempigia kalagamba kabudi kaniambia 2008 Tanzania hakukua na mabasi yenye USB charger...
Ila pole sana brother
Alikuwa ananiangalia kwa kuiba tu.Mpk apo mamkwe hajasanuka😂
Hata sijaisoma, kumbe inahusu mabasi.Sure. Eti 2008 Bus lina seat za kuchajia simu.
Unaambiwa ukiwa muongo uwe na kumbukumbu 😊😊Alafu sijui kwann mtu akiongea uongo, kuna point ndogo ndogo ndio hudhihirisha uongo wakd bila matarajio.
Ko mlikua mnanyapiana kwa mviziano😂Alikuwa ananiangalia kwa kuiba tu.
Ila kulana ugenini raha sana.Mama mwingine akasema " ila hizi videos ni nzuri shida ni kwamba tuko na wanetu humu..."
Aliku mkubwa sana kiumri.Hizo zilikurahisishia, ungemdandia mama mkwe kwa kuanzisha kimada huenda angekutunuku
Kumeanza kuchangamka naombeni fursa 😂Ila kulana ugenini raha sana.
Mkifika nyumbani kila mtu kimya🤐
Hahaha 😂Hii story ina mwendelezo kwamba jamaa alimkula mother in law wake au?
Kama sio kinajadiliwa nini humu?
Izo USB zilikuwepo kwanza kabla ya kuja kwenye basi lenyeweNimempigia kalagamba kabudi kaniambia 2008 Tanzania hakukua na mabasi yenye USB charger...
Ila pole sana brother
Afadhari😌Hahaha 😂
Uongo mwingine huuIzo USB zilikuwepo kwanza kabla ya kuja kwenye basi lenyewe
Huyu jamaa katuona mandazi
Yeye ilinitaka lakini Mimi sikumtaka. Story zangu alizipata kwa mke wangu.Ko mlikua mnanyapiana kwa mviziano😂
😂😂😂Umalaya tu ungevimbaYeye ilinitaka lakini Mimi sikumtaka. Story zangu alizipata kwa mke wangu.
Yeah, kabisa mkuuIla kulana ugenini raha sana.
Mkifika nyumbani kila mtu kimya🤐
Unajua anatuona kama mataqo yake 😄Izo USB zilikuwepo kwanza kabla ya kuja kwenye basi lenyewe
Huyu jamaa katuona mandazi
Hahaha, nilikosea ku type mkuu.Unajua anatuona kama mataqo yake 😄
Tuandamane auUnajua anatuona kama mataqo yake 😄
Hii tunaijua 🤣Hahaha, nilikosea ku type mkuu.