Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
Na umevaa suruali modo..!! Mshedede lazima uchore ndizi modoni..!!Yaani umekaa na mama mkwe unashangaa unadinda kila muda.
Aibu jamani
Afu ukute umechomekea shati🤣🤣🤣
Na umevaa suruali modo..!! Mshedede lazima uchore ndizi modoni..!!Yaani umekaa na mama mkwe unashangaa unadinda kila muda.
Aibu jamani
Afu ukute umechomekea shati🤣🤣🤣
kwamba hawa ndo huwa wanashuhudia ukitikisaji ama ndo watikisaji wenyewe
Sawa sawaKwenye mambo fulani fulani siamini hata tone aise!
Nilikuwa nimeshaoa mkuu😎Usinitibue 2008 ulikuwa huko unyanyembe unanyolewa kwa makasi
Nusratt najua kweli akiba haiozi ,ila sasa pia kumbuka kuliko utunze tu kwanini usiifanyie uwekezaji ,by the time unapata huyo mme si itakuwa ni kubwa kuliko ilivyo sasa hiviWe
Namtunzia mume wangu
Tena wakati tunachambu zile gospel alikuwa ananiangalia machoni kimahaba pamoja na umri wake wa makamo.kwahiyo ulikuwa unagusana mapaja na mama mkwe
uvccm kwa kamba ,hamjambo
2008 basi gani lilikuwa na charger!?Mwaka 2008 nilipanda basi moja na mama mkwe wangu ambaye nilikuwa ninamuheshimu kuliko hata mama yangu kutokana na umri wake wa makamo (alikuwa mwalimu wa shule ya msingi aliyekaribia kustaafu na mtu wa dini sana).
Kwenye basi nilikaa naye pamoja na safari ilikuwa ya masaa sita (6) na kwa sababu basi lilikuwa classic tuliamini kuwa safari ingeenda vyema pasipo na uchovu (lile basi lilikuwa na sehemu ya kuchajia simu pia kulikuwa na Television).
Kwa kuwa gari lile lilikuwa na Television basi ngoma kadha wa kadha zilianza kuporomoshwa. Wakaanza kupiga nyimbo za kiislamu yaani kaswida hadi zikaisha, zikapigwa gospel za kilokole pamoja na Luturujia za RC nazo zikaisha, wakaingia kwenye zile za kikongo ambazo wasanii wake wana suruali pana (jeje) nazo zikaisha.
Shida ilianza pale zilipoanza kupigwa Bongo flava pamoja na mchanganyiko wa nyimbo za kinaijeria na za kimarekani kwani mbususu za wanawake waliokuwa kwenye videos zilikuwa wazi kama za mbuzi.
Mimi huwa napenda sana kuangalia muziki hivyo kwa sababu nilikuwa na mama mkwe nilishindwa kuangalia zile videos kwa uhuru lakini zile za kidini niliziangalia kwa uhuru huku nikipiga story na mama mkwe juu ya zile nyimbo lakini kwenye hizi zenye uchi nje nje niliona haya.
Mtu mzima secretarybird kwa aibu nikajifanya naangalia nje kupitia dirisha kumbe macho nimeyageuza kimtindo 😂kuelekea kwenye screen yaani macho niliyageuza kama kinyonga ili tu nisipitwe na uhondo na kwa bahati mama mkwe hakujua kama nilikuwa naangalia zile nyimbo😃.
Kwenye sitinya nyuma yetu Wana wawili wa makamo kaanza kunong'onezana, eti "yaani shonga mwenzako naona aibu kuangalia video kama hizi na watoto wetu, hii ni aibu😹"
Ilikuwa patashika nguo kuchanika.
Cc realMamy Mshangazi dot com Anastasia21 Binti Sayuni03 Nusratt BICHWA KOMWE -.
Hakika
Hahaha 😂Eti 2008 basi gani ilikuwa na TV na msanii gani wa bongo fleva alikuwa ana video za uchi uchi hivi
HII ni chai ya maziwa
Hawa ni shemeji zangu wa damu.kwamba hawa ndo huwa wanashuhudia ukitikisaji ama ndo watikisaji wenyewe
Nilitaka niandikie 2018.2008 basi gani lilikuwa na charger!?
Mama mkwe anaweza tamani ndizi ya mwanaeNa umevaa suruali modo..!! Mshedede lazima uchore ndizi modoni..!!
Hii laaziz inanihusu mimi au huyo fyucha husband ambaye huenda pia akawa mimiAisee.
Acha tu nimtunzie laaziz
Tafadhari ishia kwa mama mkwe na watoto wake wakikeTena wakati tunachambu zile gospel alikuwa ananiangalia machoni kimahaba pamoja na umri wake wa makamo.
Nadhani shughuli yangu ya kitandani aliisikia kwa mke wangu.
Unakaaje siti moja na mama mkwe?Mama mkwe angejisikia vibaya.
Zilikuwepo Nokia E37,Chacha etc ila pin ndogo2008 basi zilikuwa na chaji. Duh yaani wakati huo hata USB ilikuwa shida, simu nyingi zilikuwa simu za kiswaswadu. Brother hapa unatupiga kamba 😂 😂 😂 😂. 2018 sawa nakubaliana na wewe but 2008 nilikuwa mwaka wa tatu chuo kikuu. Na nilikuwa natumia simu ya button 🔳