Yaliyonikuta mwaka 2008 nilipopanda basi moja na mama mkwe wangu niliyekuwa namuheshimu

kwahiyo ulikuwa unagusana mapaja na mama mkwe

uvccm kwa kamba ,hamjambo
Tena wakati tunachambu zile gospel alikuwa ananiangalia machoni kimahaba pamoja na umri wake wa makamo.

Nadhani shughuli yangu ya kitandani aliisikia kwa mke wangu.
 
2008 basi gani lilikuwa na charger!?
 
Zilikuwepo Nokia E37,Chacha etc ila pin ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…