Yaliyonikuta nilipofanya mapenzi na Malaya kwa mara ya kwanza 2014

The wise man once said that "the last drop of urine doesn't obey gravitational force unless you shake it"
 
HUU UZI UMENIKUMBUSHHA MBALI SANA, MWAKA 2017 NILIKUA GEITA, SASA PALE NILIPOKUA NAISHI KUNA MAMA MMOJA NI MPIKA MSOSI.

ALIMUAJIRI CHALII MMOJA KUTOKA BUSH, SASA HUYO CHALI TUKAWA MARAFIKI, KAMA UNAVO JUA VIJANA NKIKUTANA STORI ZA HAPA NA PALE SANA TU.

SIKU HIYO KAJAMAA KAKAWA HAKATULII MARA KAENDA HUKU MARA HUKU, KUMBE JAMAA ANA YAKE KICHWANI SI HATUJUI BHANA, IMEFIKA NIGHT KALI, JAMAA AKAONA HUU NDO MUDA WA LUKAMILISHA MISSION YAKE, MISSION ILI KUA KWENDA KWA MALAYA PALE DEPO YA KOKA, SHULE YA KALANGALALA MSINGI UNAVUKA BARABARA, HAPO KULIKUA NA CHIMBO LA MALAYA MIAKA HIYO. BASI BHANA JAMA AKATOROKA BILA KUTUAGA, KUMBUKA NDO ILIKUA MARA YAKE YA KWANZA, KAFIKA AKA SOTI HUYO CHEMBA, SASA JAMAA NI MGENI WA HIZO INSHU, AKAVUA NGUO ZOTE KAMA YUKO NA DEMU WAKE YANI ILE ANAINGIZA POLISI HAWAPA.

PULUKUSHANI WAKAMDAKA, INASEMEKANA WALITAKA KUMTOA HIVOHIVO, WAKAMUONEA HURUMA WAKAMWAMBIA AVAE BOXER TU, SASA MSHIKAJI WETU MMOJA KWA MBALI ANACHEKI SHOW, SI AKAONA MDAU KADAKWA, NDO KUJA KUTUSHITUA, AISEE HATUNA MBAVU JAMAA ALIVO TOLEWA NA BOXER, ALAFU YANI ILE MARA YA KWANZA TU UNA DAKWA HAPOHAPO.
 
Akaoge maji ya bahari haiwezekani siku hio hio na kudakwa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…