Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,375
- 4,784
- Thread starter
- #61
Nimependa hiyo punch-line. Fafanua maana tafadhali!The wise man once said that "the last drop of urine doesn't obey gravitational force unless you shake it"
Nimependa hiyo punch-line. Fafanua maana tafadhali!The wise man once said that "the last drop of urine doesn't obey gravitational force unless you shake it"
Noma sana, huyo bila shaka hakurudia tena kama mimi. Maana yaliyomkuta ni makubwa. Hapo polisi kukupeleka lupango ni bure ila kutoka ni hela.HUU UZI UMENIKUMBUSHHA MBALI SANA, MWAKA 2017 NILIKUA GEITA, SASA PALE NILIPOKUA NAISHI KUNA MAMA MMOJA NI MPIKA MSOSI.
ALIMUAJIRI CHALII MMOJA KUTOKA BUSH, SASA HUYO CHALI TUKAWA MARAFIKI, KAMA UNAVO JUA VIJANA NKIKUTANA STORI ZA HAPA NA PALE SANA TU.
SIKU HIYO KAJAMAA KAKAWA HAKATULII MARA KAENDA HUKU MARA HUKU, KUMBE JAMAA ANA YAKE KICHWANI SI HATUJUI BHANA, IMEFIKA NIGHT KALI, JAMAA AKAONA HUU NDO MUDA WA LUKAMILISHA MISSION YAKE, MISSION ILI KUA KWENDA KWA MALAYA PALE DEPO YA KOKA, SHULE YA KALANGALALA MSINGI UNAVUKA BARABARA, HAPO KULIKUA NA CHIMBO LA MALAYA MIAKA HIYO. BASI BHANA JAMA AKATOROKA BILA KUTUAGA, KUMBUKA NDO ILIKUA MARA YAKE YA KWANZA, KAFIKA AKA SOTI HUYO CHEMBA, SASA JAMAA NI MGENI WA HIZO INSHU, AKAVUA NGUO ZOTE KAMA YUKO NA DEMU WAKE YANI ILE ANAINGIZA POLISI HAWAPA.
PULUKUSHANI WAKAMDAKA, INASEMEKANA WALITAKA KUMTOA HIVOHIVO, WAKAMUONEA HURUMA WAKAMWAMBIA AVAE BOXER TU, SASA MSHIKAJI WETU MMOJA KWA MBALI ANACHEKI SHOW, SI AKAONA MDAU KADAKWA, NDO KUJA KUTUSHITUA, AISEE HATUNA MBAVU JAMAA ALIVO TOLEWA NA BOXER, ALAFU YANI ILE MARA YA KWANZA TU UNA DAKWA HAPOHAPO.
Mimi ni zaidi. Zamani waliniita malaika. Daah ila waswahili bana.Aitwe SAINT ABDALA
Sana sio kidogoIla najiuliza, ambao wanakula mashoga si itakuwa wana roho ngumu sana?
Tone la mkojo wa mwisho hua halianguki chini hadi utikise mtalimbombo .Nimependa hiyo punch-line. Fafanua maana tafadhali!
Maendeleo hayana vyamaDaah mda wa kuondoka sasa, nashangaa yule malaya niliyelala naye ananishika shati ananiambia pesaa yanguu! Mmh! Nikajisemea kumbe kuna kutoa hela! Na mtoto wa baba mdogo naye kashikwa shati kule, alitoa kama 15,000 yule malaya anagoma, anasema, "yaani umenisugua hivo halafu unipe 15,000 tu?"
Kutimia kwa miaka kumi tangu jogoo la jamaa yetu kushindwa kuwika.Title 2014
Maelezo 2024
Ipi ni ipi?
Mmmh kati ya vitu ambavyo sitajaribu ni kuchukua malaya ,bora niokoteze MLUPO kitaani ambaye yupo yupo tu kuliko kuchukua anayejipanga barabarani.
ALAFU STORI ILITAPAKAA MTAANI KWAMBA CHALI KADAKWA CHIMBO LA MALAYA KWA KWELI ILI MUUMIZA KISAIKOLOJIA, KUNA MUDA ALIKUA ANAOGOPA KUTOKA NJE AKIONA WATU WENGINoma sana, huyo bila shaka hakurudia tena kama mimi. Maana yaliyomkuta ni makubwa. Hapo polisi kukupeleka lupango ni bure ila kutoka ni hela.
Nini kilikupata mpwa?Aisee kulala na Malaya ni kitu najutia mpaka kesho..... Simshauri mtu kabisa
Huyo demu uliyempa hiyo 40k unaweza kuta naye ni yatima au ndiyo breadwinner wa familia yao. Kwahiyo hivi vitu siyo vya kujutia sana.Najutia 40,000 yangu, bora ningesaidia yatima.
SAINT CAZOLATukuite SAINT nani?
Usitaje hicho kiumbe, yule mtu ni hatari sana, mtakatifu cazorla, fundi wa mpira anatuliza na kulia anapiga kushoto, kama anaenda huku kaghairi, anaenda huku, mara ana dribble na kushoto mara kulia..SAINT CAZOLA
ee wana roho ngumu we imagine mtu anashika tako gumuIla najiuliza, ambao wanakula mashoga si itakuwa wana roho ngumu sana?
Wanaojipanga Usiku barabarani wengi wao mchana hauwaoni maana wanakuwa wamelala GHETTO ,nachukua MLUPO ambaye namuona mchana na pia namuona USIKU mitaani.Kujipanga barabarani ni shifti ya usiku, mchana hao ni watu wanaonekana wana heshma zao.