Yaliyonikuta nilipofanya mapenzi na Malaya kwa mara ya kwanza 2014

Mmmh kati ya vitu ambavyo sitajaribu ni kuchukua malaya ,bora niokoteze MLUPO kitaani ambaye yupo yupo tu kuliko kuchukua anayejipanga barabarani.
Mkuu unaweza kuta hao hao wa mtaa ndo wanakuwaga kule kwenye madanguro. Maana wale sio wa kujipanga huku barabarani kama wa kule Temeke.
 
Huyo demu uliyempa hiyo 40k unaweza kuta naye ni yatima au ndiyo breadwinner wa familia yao. Kwahiyo hivi vitu siyo vya kujutia sana.
Naamini hivo ama labda Mungu aliniepusha na makubwa zaidi
 
Mkuu unaweza kuta hao hao wa mtaa ndo wanakuwaga kule kwenye madanguro. Maana wale sio wa kujipanga huku barabarani kama wa kule Temeke.
Wanaojipanga Usiku barabarani au wanaoshinda kwenye madanguro wengi wao mchana hauwaoni maana wanakuwa wamelala GHETTO/MADANGURONI ,nachukua MLUPO ambaye namuona mchana na pia namuona USIKU mitaani.
 
Pombe sikuhizi unakunywa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…