Yaliyonikuta nilipofanya mapenzi na Malaya kwa mara ya kwanza 2014

Ndio hivyo mkuu, yani unajua kabisa hii wife material, kabla ya tendo limtu linakuuliza utalipa sh ngapi alafu baada ya hapo ukilipotezea linaanza kukulaani.
Nyie wakopaji tu! 😹
Toka lini malaya akawa wife material?
Lipa pesa acha kupenda kuzagamua bure bhana..!!
 
😹😹😹😹 Dah!
Nimecheka aiseee.!!
 
Sijawai nunua malaya ila kuna zile pisi unakomaa nayo kutema swaga akifika anaanza kuuliza ntampa sh ngapi, hizi ni malaya zisizojitangaza.
Hapo umenikumbusha kuna manzi niliwahi ilala, sasa kabla ya tendo inaanza kulalamika kwanini simpi hela, na mimi nikachafukwa ikabidi nimuulize, kwani unaniuzia?
Baada ya kumuuliza hilo swali kakajifanya kukasirika eti nimemfananisha na malaya.
 
Huyo n malaya anaejificha ficha
 
Nlipokua chuo kuna jamaa alipenda malaya mpaka alikua anakopeshwa bao

Malaya anafata "Taipu C" geto kwake ..ya malaya mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…