Yaliyonikuta nilipofanya mapenzi na Malaya kwa mara ya kwanza 2014

SIO KWA UMUHIMU....
ILA VYEMA WATU WAJUE HUYO MTOTO WA BABA MDOGO ALICHUKULIWA NYOTA YAKE.(kwa kifupi)...>>Alishakufa kitambo.
 
Dhambi yoyote ukiitenda kwa mara ya kwanza huwa ina majuto mengi mno ndani ya moyo hasa ukiwa ni mtu mwenye imani thabiti ya Mungu.Ila unapoirudia rudia ile hali ya kujuta hutoweka na hupelekea kuona kile ukifanyacho ni sahihi au kawaida tu. Jambo ambalo ni baya sana.

Kampani mbaya huleta majaribu mengi sana ya kiimani.
 
Kujipanga barabarani ni shifti ya usiku, mchana hao ni watu wanaonekana wana heshma zao.
sahihi...tena tunao humuhumu mtaani wengine ni wake za watu. Mimi nawajua wengi kabisa kwenye Fb,tiktok,insta pages zao wameolewa na wanaishi na waume zao ila utawakuta huko telegram , watsapp na mitandao mengine wanajiuza.

Yaani inafikia kipindi huwa najiuliza ina maana jamaa hajui kuwa manzi wake anauza utamu...mbaya zaidi wanauza nyapu na igunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…