pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 282
- 561
Inaudhi, inaumiza nimedunduliza nimenunua eneo ambapo nimepitia kwa mamlaka zote za Serikali ya mtaa/kijiji na pia ofisi ya kata cha kusikitisha wanatokea watu wawili au watatu wenye nyaraka za manunuzi ambazo pia zimepewa Baraka na mamlaka hizi, namtafuta mtendaji wa kata haonekani ofisini wiki nzima anaacha maelezo kuwa ana kazi maalum.
Ukitaka kwenda kulalamika kwenye mamlaka yake ya juu yaani kwa DED au RC huwezi kuwaona hawa watu Sasa mimi nafanyaje huu ni mwaka sasa kwanini nisijichukulie sheria mikononi. Pita Bagamoyo kata ya Makurunge utakuta kundi kubwa linamsubiri mtendaji bila kujua yuko wapi na atakuja saa ngapi mamlaka zinalipwa kodi zetu halafu wanatutesa wananchi 😭😢