Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Ilikuwa ni tarehe 12 mwezi wa 7 mwaka 2018 njiani kuelekea Tabora mjini tukiwa kwenye usafiri wa jumuiya HBS Express tukitokea Dar Es Salaam. Tulifika Tabora mjini saa tano usiku kutokana na changamoto ilijitokeza katikati ya safari Bus lilipasuka Tyre hivyo tulisubiri Tyre itoke Tabora mjini iletwe porini ambapo bus hili lilipata hitlafu, baada ya masaa mawili hivi tyre ililetwa wakafunga ngoma ikasepa. Mida ya saa tano usiku Tabora ilikuwa imezizima kiasi labda pale stend tu ndio kuna madogo wanakesha kulinda mizigo na mabus na kuuza vichipsi yai.

Nikaona niende lodge nikamtafuta bodaboda akanipeleka lodge moja inaitwa ZIMBABWE LODGE chumba 20000 nikachukua chumba ila usingizi ukagoma nikamuuliza mdada wa reception bar ya karibu nikapate kinywaji akasema niende Oxygen gas huwa wanakesha. Nilipoenda nikalewa nikachukua Malaya mmoja anaitwa Regina japo huwa wanataja majina ya uongo. Huyu Malaya nililala nae Ile kuamka saa mbili asubuhi nikakuta kaloweka nguo zangu zote, Kaiba simu yangu tecno photom six, Kaiba wallet jinsi ilivyo Ina pesa zote na vitambulisho.

Akaacha ujumbe wa maandishi mezani KOMA KUCHUKUA MALAYA USIOWAJUA KWAO NI WAPI. Nilitaka kulia ila kwa kuwa mimi ni mwanaume nilijikaza kisabuni, wahudumu walicheka sana wakisema mkaka umetoka safarini badala ulale unafanya uzinifu wa kipumbavu, walinitukana japo hawanijui heshima yangu ikawa zero. Nilichukuwa zile nguo nikaanika zilipokauka nikasepa bila kuaga.
images%20-%202022-08-21T072535.517.jpg
 
Unachukua malaya halafu unalala kama upo kwako!?

Ukiwwa na malaya unalala kisteling stelingi, jicho moja linalala moja liko macho, likilala hili, hili linaka macho, kikomando komando kama Arnold schwarznegger
Uchovu wa safari plus uchovu wa laga.
Ukichukua malaya kabidhi KILA kitu reception, au omba dada wa reception awafungie kwa nje. La sivyo umepigwa.
 
Siwezi kusema hii stori ni ya uongo....ila ninachotamani kuhoji ni kwa vipi Bus kukosa spare tyre?...labda kama kuna sababu nyingine ila kama ndivyo basi hiyo Kampuni ni ya kuondolewa kabisa baranbarani.
 
Unalala na malaya funguo unaacha mlangoni kweli we mjini bado sana,ukilala na malaya kitanda unakisogeza mlangoni hatoki mtu
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hii mbinu nitatumia lakini wenye gest hawatakubali uhalibifu wa hii displacement
 
Uchovu wa safari plus uchovu wa laga.
Ukichukua malaya kabidhi KILA kitu reception,au omba dada wa reception awafungie kwa nje
Kuna mwaka niliingia sehemu moja, kuna kibaridi kiaina, nikachukua mwali.. Kufika ndani nikajifanya kama nawasha feni, demu akadai feni ya nini, (kimoyo moyo nikasema umekwisha), hapo nishapiga calculations zangu, nishacross multiplication, nimepiga dy/dx, nishaprove jibu langu mara 10 kumi kama ni sahih.

Ikawashwa heater maji yanachemka, anazama tu bafuni pochi nikalichukua nikaliweka kule kule juu ya feni, tukaingia kuoga, tulipotoka picha likachezwa, nikala vyombo nikala vyombo, nikala vyombo, piga saana MUCHINGA, bidada ulimi njee, anaomba poo kaishafika kilimanjaro, mount meru, udzungwa, uluguru, atlas mpaka himalaya, mie akili yangu inasema huyu ni kukaza mpaka akose nguvu ya kushukia kitandani, akamaliza vilevile vyoote, akabakisha mabonde tu, ndio nikamuacha, mwali hoi, nilivyomuacha akalala kama alivyo, nikaifunika shuka, nami nikalala kwa uchovu, nikaja kushituka usiku mwingi mwali yuko viile vile, alfajiri tena vile vile, nikamtegea labda nipate cha alfajiri mwali kalala, kuja kushituka saa 2 namkuta nae ndio anaamka, nikaenda kuyakoga maji yangu, chai iko wapi.. Nikaruka tena kijoti..
Wapi pochi langu, huyooo nikasepa.

Angeniotea siku zile ningepagawa, pochi lilikuwa na hela, bado nilikuwa na kibunda kama cha 700k hivi.
 
Unachukua malaya halafu unalala kama upo kwako!?

Ukiwwa na malaya unalala kisteling stelingi, jicho moja linalala moja liko macho, likilala hili, hili linaka macho, kikomando komando kama Arnold schwarznegger
Jamaa yangu alichukua malaya Dodoma, akampiga iphoné x, laptop na pesa akamwachia jero ya daladala mezani.
Baada ya hapo akampiga picha akiwa kalala uchi na wakiwa wote kitandani akawa anazitumia kuamblackmail 😆😆😆
Baaadae sana akaja kugundua wana ukoo wa mbaliii ndo kumblackmail kukaisha
 
Back
Top Bottom