Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

Sasa mbona ushataja mbinu humu humu na Malaya wanasoma
 
Unatupa dirishani? Sasa ukitupa siunaenda nje halafu utaufata vp au mm sijaelewa maelezo yako
 
We jamaa umetudanganya.
Haiwezekani ukiwa na shauku ya safari huku ukijua udhaifu wako, halafu ukaenda kulewa. Na mwizi hana sababu ya kuacha ujumbe ulio educative Kwasababu hilo siyo lengo lake.
Mwisho hujatuambia ulipataje msaada wa kurejeshewa baadhi ya vitu muhimu vilivyobebwa ambavyo havikuwa na matumizi kwa mwizi.
 
Vitu kama vipi? Vitaje nikujibu halafu huo ujumbe aliandika huyo kahaba hivyo hili swali halinihusu
 
Mk(LEMM)katika ubora wako wakutunga story
 
Duh, Zimbabwe, Simonge road hiyo [emoji2][emoji2]
 
Alafu nina ka ushuhuda wako ...kuna uzi uliandika kuhusu kila bar zinazo kesha na kulala bure ...free kila mkoa ...... kuna mkoa nlifaidika baada ya kusoma uzi wako .... siku nikitulia ntakupa full details mkuu
Sawa kiongozi wangu, JF tunapeana mbinu za kivita kila nyanja
 
Alafu nina ka ushuhuda wako ...kuna uzi uliandika kuhusu kila bar zinazo kesha na kulala bure ...free kila mkoa ...... kuna mkoa nlifaidika baada ya kusoma uzi wako .... siku nikitulia ntakupa full details mkuu
Fungua uzi.. Jinsi uzi wa mpwayungu village ulivyoniokowa kwenye kipindi kigumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…