Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

Ficha ufunguo hata kuuweka chooni au sehemu ambazo hatajua kuwa umeficha. Weka kwenye kidirisha cha toilet
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mateso yote haya ya nini, ukidumbukia je, halafu nikwambie tu ukweli hata wao hatua ya mwisho huwa wanaenda kukagua mpaka chooni elewa kuwa umelala na kahaba lakini pia kibaka mzoefu
 
Siwezi kusema hii stori ni ya uongo....ila ninachotamani kuhoji ni kwa vipi Bus kukosa spare tyre?...labda kama kuna sababu nyingine ila kama ndivyo basi hiyo Kampuni ni ya kuondolewa kabisa baranbarani.
Hata mambo mkuu yapo wala simkatalii kuna mwaka 2012 safari ya siku moja tulisafiri siku mbili kutokana na gari tuliyokuwa tunasafiri nayo haikuwa na spares mara zote gari ilipotuharibikia iliwalazimu kurudi walikotoka kwenda kuchukua ama kwenda kituo cha mbele kutafuta spare
 
Ilikuwa ni tarehe 12 mwezi wa 7 mwaka 2018 njiani kuelekea Tabora mjini tukiwa kwenye usafiri wa jumuiya HBS Express tukitokea Dar Es Salaam. Tulifika Tabora mjini saa tano usiku kutokana na changamoto ilijitokeza katikati ya safari Bus lilipasuka Tyre hivyo tulisubiri Tyre itoke tabora mjini iletwe porini ambapo bus hili lilipata hitlafu, baada ya masaa mawili hivi tyre ililetwa wakafunga ngoma ikasepa. Mida ya saa tano usiku tabora ilikuwa imezizima kiasi labda pale stend tu ndokuna madogo wanakesha kulinda mizigo na mabus na kuuza vichipsi yai.

Nikaona niende lodge nikamtafuta bodaboda akanipeleka lodge moja inaitwa ZIMBABWE LODGE chumba 20000 ni kachukua chumba ila usingizi ukagoma nikamuuliza mdada wa reception bar ya karibu nikapate kinywaji akasema niende Oxygen gas huwa wanakesha. Nilipoenda nikalewa nikachukuwa Malaya mmoja anaitwa Regina japo huwa wanataja majina ya uongo. Huyu Malaya nililala nae Ile kuamka saa mbili asubuhi nikakuta kaloweka nguo zangu zote, Kaiba simu yangu tecno photom six, Kaiba wallet jinsi ilivyo Ina pesa zote na vitambulisho.

Akaacha ujumbe wa maandishi mezani KOMA KUCHUKUWA MALAYA USIOWAJUA KWAO NI WAPI. Nilitaka kulia ila kwa kuwa mm ni mwanaume nilijikaza kisabuni wahudumu walicheka sana wakisema mkaka umetoka safarini badala ulale unafanya uzinifu wa kipumbavu, walinitukana japo hawanijuwi heshima yangu ikawa zero. Nilichukuwa zile nguo nikaanika zilipokauka nikasepa bila kuaga View attachment 2330016
we bwege unalalaje kwa aman na mtu usiyomjuwa,tena unalala kifala hadi unaibiwa walet ?
 
Hata mambo mkuu yapo wala simkatalii kuna mwaka 2012 safari ya siku moja tulisafiri siku mbili kutokana na gari tuliyokuwa tunasafiri nayo haikuwa na spares mara zote gari ilipotuharibikia iliwalazimu kurudi walikotoka kwenda kuchukua ama kwenda kituo cha mbele kutafuta spare
Kwani unafikiri hajui bhana, huyu sianajizima data tu
 
Mbona Afghanistan [emoji1023] hakuna Malaya
Hii biashara IPO Dunia nzima mkuu
Screenshot_20220821-184914.jpg
 
Ilikuwa ni tarehe 12 mwezi wa 7 mwaka 2018 njiani kuelekea Tabora mjini tukiwa kwenye usafiri wa jumuiya HBS Express tukitokea Dar Es Salaam. Tulifika Tabora mjini saa tano usiku kutokana na changamoto ilijitokeza katikati ya safari Bus lilipasuka Tyre hivyo tulisubiri Tyre itoke tabora mjini iletwe porini ambapo bus hili lilipata hitlafu, baada ya masaa mawili hivi tyre ililetwa wakafunga ngoma ikasepa. Mida ya saa tano usiku tabora ilikuwa imezizima kiasi labda pale stend tu ndokuna madogo wanakesha kulinda mizigo na mabus na kuuza vichipsi yai.

Nikaona niende lodge nikamtafuta bodaboda akanipeleka lodge moja inaitwa ZIMBABWE LODGE chumba 20000 ni kachukua chumba ila usingizi ukagoma nikamuuliza mdada wa reception bar ya karibu nikapate kinywaji akasema niende Oxygen gas huwa wanakesha. Nilipoenda nikalewa nikachukuwa Malaya mmoja anaitwa Regina japo huwa wanataja majina ya uongo. Huyu Malaya nililala nae Ile kuamka saa mbili asubuhi nikakuta kaloweka nguo zangu zote, Kaiba simu yangu tecno photom six, Kaiba wallet jinsi ilivyo Ina pesa zote na vitambulisho.

Akaacha ujumbe wa maandishi mezani KOMA KUCHUKUWA MALAYA USIOWAJUA KWAO NI WAPI. Nilitaka kulia ila kwa kuwa mm ni mwanaume nilijikaza kisabuni wahudumu walicheka sana wakisema mkaka umetoka safarini badala ulale unafanya uzinifu wa kipumbavu, walinitukana japo hawanijuwi heshima yangu ikawa zero. Nilichukuwa zile nguo nikaanika zilipokauka nikasepa bila kuaga View attachment 2330016
Ila kuna watu ni washamba wa mbususu[emoji1787][emoji1787]

Yaan unalala na malaya na unapata usingizi?
Wenzako wakilala na malaya hawasinzii mpka aondoke fala ww[emoji23] alafu unalalaje na mtu usie mfahamu akikunuonga usiku!!

Malaya ni short time tu asepe sio kulala nae, hivi huwa mnajiamini nn?

Ww ni kiande sana, me hata dem ambae sjazoeana nae hata kama namfahamu vizur siwezi kulala nae usiku nisinzie
 
Hii principal nzuri nitatumia
 
Back
Top Bottom