Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #261
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mkuu mnatumia dawa ninimimi nikilala na malaya hata apite sisimizi nashtuka, ilikuaje ukajiachia kama upo na mkeo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mkuu mnatumia dawa ninimimi nikilala na malaya hata apite sisimizi nashtuka, ilikuaje ukajiachia kama upo na mkeo mkuu
Au unauingiza kwenye mto wa kuraria uongo mkuuUkichukua malaya mkifika ndani hakikisha unafunga mlango halafu ufunguo unauchimbia sehemu akienda kuoga yaani hapo umekomesha
[emoji1787] [emoji1787] Mkuu ulikuwa na mali gani za thamani mpaka uweweseke hivyoSitakaa ninunue hayo makitu.
Miaka ya nyuma Nilikutana na binti kisu sana Kahama.
Nilipoingia lodge nilificha ufunguo ndio ilikuwa pona yangu lkn hofu niliyokuwa nayo niliapa siwezi tena kulala au kununua mtu milele.
Nimeokoka hayo makitu[emoji1787][emoji1787]
Kweli kabisa shida imekosa bitesChai imekolea sana sukari[emoji36][emoji706]
Mimi siwezi kulala vitanda vya udongo wa kaburiNaona bado mgeni kwenye hii tasnia ya gest..hivyo vitanda ni vingi sana kwenye gesti za bei rahisi.
#MaendeleoHayanaChama
Hii njia ni risk sana kiongozi usijaribuHii nayo mzee nimeikubali sana inaitwa mchawi mchomeke tunguli la kulogea bila kujua
Huwa nashangaa sana mkuu yani unakuta Malaya ni kisu mpaka mapigo ya moyo yanaenda mbiyo vibaya mnoHahaha lakini kuna malaya wazuri mazee basi tu shetani huwa anajipakulia vitu vizuri kwanza hala vibovu anawaachia wanadamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa na pesa ya kutosha halafu nilikuwa nafanya utafiti kuanzia Tabora, Shinyanga Mwanza na Mara.[emoji1787] [emoji1787] Mkuu ulikuwa na mali gani za thamani mpaka uweweseke hivyo
Kote umeweka mbinu kabambe ila hapa tu ndoumekuja kuharibu. Unawezaje kumkataza kushika pochi yake nakati nimali yake, sutaonekana wewe mkorofiUsiruhusu ashike pochi yake mpka kesho asubuhi
Utafiti upi, wa Malaya auNilikuwa na pesa ya kutosha halafu nilikuwa nafanya utafiti kuanzia Tabora, Shinyanga Mwanza na Mara.
Sorry [emoji120] swali linaweza lisiwe rafikiUtafiti upi, wa Malaya au
Siwezi kulala kama mfungwaUlitakiwa ulale kama upo lindo kaka
Ebu ficha Ujinga wakoMnajitia Stress tu Zisizo na Maana. Ndio maana Mnakufa Haraka kwa Kuendekeza Pombe na Malaya.. Unalala mwili umechoka na Umeibiwa unategemea utatoboa 50 years kweli
Mi huwa namwambia kabisa reception atufungie aende na funguo afungue kesho sa nne.Unalala na malaya funguo unaacha mlangoni kweli we mjini bado sana,ukilala na malaya kitanda unakisogeza mlangoni hatoki mtu
[emoji3][emoji3][emoji3]Unachukua malaya halafu unalala kama upo kwako!?
Ukiwwa na malaya unalala kisteling stelingi, jicho moja linalala moja liko macho, likilala hili, hili linaka macho, kikomando komando kama Arnold schwarznegger
Hakuna aliewahi kupambana na Hii biashara akashinda, Ndio biashara kongwe. hata yesu alikufa akaiacha.Mnaogopa kuibiwa kuliko kuogopa magonjwa
Mnaogopa kuibiwa kuliko kumwogopa Mungu kwa dhambi ya uzinifu
Hakuna aliyekamilika ila mnajua kuwa ukilala na malaya unabeba maroho yake yote, imagine kashalala na wanaume wangapi? Ana maroho mangapi , unabeba mnapeleka kwenye ndoa zenu kwa mlio na ndoa na hapo ndo mwanzo wa mafarakano, familia magonjwa, mikosi, kukosa amani na furaha
Starehe ya muda mfupi inamadhara makubwa kama sio kimwili sababu mnasema mnatumia Kinga ila madhara ya Kiroho
Mungu aturehemu na hiki kizazi chetu aisee