Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

Kuna jamaa yangu ilimkuta alijisahau akapigwa picha bahat nzur haikua picha mbaya sana, yule malaya aka edit akaandika shoga huyu anapatikana bonyokwa alafu akamtumia jamaa wasap akamwmbia nitumie elfu 30 kabla sijaiweka kwenye magroup yetu, jamaa akatuma.

Demu akaona ndo kamchezo akiwa na shida ya pesa anafanya hivo jamaa akaona huu ujinga akamblock yule malaya kila sehem akasema liwalo na liwe, hakikutokeaga chochte kibaya yule malaya naona alipotezeaga
 
Mkuu una teknik nyingi sana, ile ya kuficha kwenye suruali yake au mkoba wake naijua ila ya kuingia chumbani bila roho nilikuwa siijui
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Duuuh mimi situmi hata Mia, kwanza hakuna anayenijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…