Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

Hii ni akili ya kikomandoo , hahaha

Aksnt kwa triki
Unalala na malaya funguo unaacha mlangoni kweli we mjini bado sana,ukilala na malaya kitanda unakisogeza mlangoni hatoki mtu
 
Watu mna mbinu za kutosha
Uchovu wa safari plus uchovu wa laga.
Ukichukua malaya kabidhi KILA kitu reception,au omba dada wa reception awafungie kwa nje. La sivyo umepigwa.
 
Dawa unafunga mlando funguo unaficha kwenye mkoba wake, hata ukilala fofofo ufunguo haupati kwani yeye atakuwa anatafuta kwenye vitu vyako bila kusachi mkoba wake
Asee mkuu, umenifanya nichek kwa sauti , hii ni mbinu ya kijasusi.
 
Kumbe ulipata picha zao au picha ukiyoweka ina uhusiano gani na maelezo?
 
We jamaa ni comedy kinoma

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Watu kama hawa ndio ilibidi wawe Makarani wa Sensa 🀣🀣🀣
 
Ila Mkuu hiyo tabia kuacha uwezi. Sema fuata miongozo ya wadau hapo juu.

Wale mafala wana addiction kama ngada tu. Me niliwahi mtoroka demu wangu nikaenda kwa hao malaya.
Mkuu shida ilikuwa nn mpaka umtoroke demu wako uende kwa hawa wajumlajumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…