Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

Dawa unafunga mlando funguo unaficha kwenye mkoba wake, hata ukilala fofofo ufunguo haupati kwani yeye atakuwa anatafuta kwenye vitu vyako bila kusachi mkoba wake
Asee mkuu, umenifanya nichek kwa sauti , hii ni mbinu ya kijasusi.
 
Ilikuwa ni tarehe 12 mwezi wa 7 mwaka 2018 njiani kuelekea Tabora mjini tukiwa kwenye usafiri wa jumuiya HBS Express tukitokea Dar Es Salaam. Tulifika Tabora mjini saa tano usiku kutokana na changamoto ilijitokeza katikati ya safari Bus lilipasuka Tyre hivyo tulisubiri Tyre itoke tabora mjini iletwe porini ambapo bus hili lilipata hitlafu, baada ya masaa mawili hivi tyre ililetwa wakafunga ngoma ikasepa. Mida ya saa tano usiku tabora ilikuwa imezizima kiasi labda pale stend tu ndokuna madogo wanakesha kulinda mizigo na mabus na kuuza vichipsi yai.

Nikaona niende lodge nikamtafuta bodaboda akanipeleka lodge moja inaitwa ZIMBABWE LODGE chumba 20000 ni kachukua chumba ila usingizi ukagoma nikamuuliza mdada wa reception bar ya karibu nikapate kinywaji akasema niende Oxygen gas huwa wanakesha. Nilipoenda nikalewa nikachukuwa Malaya mmoja anaitwa Regina japo huwa wanataja majina ya uongo. Huyu Malaya nililala nae Ile kuamka saa mbili asubuhi nikakuta kaloweka nguo zangu zote, Kaiba simu yangu tecno photom six, Kaiba wallet jinsi ilivyo Ina pesa zote na vitambulisho.

Akaacha ujumbe wa maandishi mezani KOMA KUCHUKUWA MALAYA USIOWAJUA KWAO NI WAPI. Nilitaka kulia ila kwa kuwa mm ni mwanaume nilijikaza kisabuni wahudumu walicheka sana wakisema mkaka umetoka safarini badala ulale unafanya uzinifu wa kipumbavu, walinitukana japo hawanijuwi heshima yangu ikawa zero. Nilichukuwa zile nguo nikaanika zilipokauka nikasepa bila kuaga View attachment 2330016
Kumbe ulipata picha zao au picha ukiyoweka ina uhusiano gani na maelezo?
 
Kuna mmoja nilikutana nae, analalamika nimnyonye maziwa huko ndiko ugonjwa wake, wakati huo nishhasikia saana wale waduwanzi wanapaka madawa kwenye ziwa, nikaona liwalo na liwe, nikalamba ziwa, bila kumeza ulimi, nikampa ulimi, nikamla mate, nikalamba tena na jingine nikamla mate, nikawa nanyonya ziwa kidogo namla na mate, kama kaweka dawa tuzime woote. [emoji23] [emoji23], kuzinduka kutategemea na resistance ya mtu, Tukapiga show fresh hakuna aliyezima.
We jamaa ni comedy kinoma

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Sheria ya kulala na Mrax Lodge

1.Kabidhi vitu vyako vya thamani counter (mapokezi)

Kama huwezi

2.Mkiingia room jifanye wewe ni gentleman kuliko wote duniani,tandua kitanda vuruga vuruga hapo unajifanya unakung'uta vumbi yani unatandika upya maana hujaridhika na utandikaji wao. Wakati unatandika chomeka hela kwenye foronya zitandikie humo humo ndani ya godoro.

Kama huwezi

3.Mkiingia wakati wa hakikisha anaenda yeye kuoga wakwanza,wewe baki nyuma hela zako fisha kwenye suruali yake,yani weka kwenye mifuko ya suruali yake (akiamka usiku kuku search hawezi jisachi suruali zake)

AU

Kama ana kipochi chake kifungue chap chap ficha hela zako humo,kisha rudsha pochi yake huko hakikisha humruhusu ashike pochi yake mpka kesho asubuhi (akiamka usiku kusaka wallet yako hawezi search pochi yake)

Kama huwezi

4. Kwa kua umeshaonyesha wewe ni gentleman wa kwenda change position ya kitanda sogeza karibu na mlango sababu kuu iwe ni unaogopa utaibiwa maana unaujua huo mtaa kwa wezi,kaza mlango na kitanda (usiku labda atokee kwa dirishani)

Kama huwezi

5.Mrax haliwi romance wala halambwi mwili wake popote pale,mkiingia acha kujitia unayajua mahaba kenge wewe,linda mdomo wako na ulimi wako usionje chochote kile,piga mzigo Lala zako "mahaba waachie njiwa".

Unapokua vitani usijiachie usingizini lala kwa step maana kuna wengine ni ma PRO tekniki zote hizo na bado anaweza kukupga na kitu kizito.

Ili uwe salama njia ni 1 tu,Jisalimishe mapokezi kabidhi hadi roho yako mapokezi ukiingia room ingia bila hata roho,hawa viumbe wanawake (kahaba) sio watu ndio shetani mwenyewe huyo yani unamuona live live.
Watu kama hawa ndio ilibidi wawe Makarani wa Sensa 🤣🤣🤣
 
Ila Mkuu hiyo tabia kuacha uwezi. Sema fuata miongozo ya wadau hapo juu.

Wale mafala wana addiction kama ngada tu. Me niliwahi mtoroka demu wangu nikaenda kwa hao malaya.
Mkuu shida ilikuwa nn mpaka umtoroke demu wako uende kwa hawa wajumlajumla
 
Back
Top Bottom