Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,775
- 3,593
Alafu gest ikiungua?Uchovu wa safari plus uchovu wa laga.
Ukichukua malaya kabidhi KILA kitu reception,au omba dada wa reception awafungie kwa nje
Mbona Sasa hata raha haipo maana mnawindana, halafu mkuu Malaya sio mke wako ufike hatua ya kunyonyana mate wewe umekubuhu kumbeKuna mmoja nilikutana nae, analalamika nimnyonye maziwa huko ndiko ugonjwa wake, wakati huo nishhasikia saana wale waduwanzi wanapaka madawa kwenye ziwa, nikaona liwalo na liwe, nikalamba ziwa, bila kumeza ulimi, nikampa ulimi, nikamla mate, nikalamba tena na jingine nikamla mate, nikawa nanyonya ziwa kidogo namla na mate, kama kaweka dawa tuzime woote. [emoji23] [emoji23], kuzinduka kutategemea na resistance ya mtu, Tukapiga show fresh hakuna aliyezima.
Sasa muhudumu atawashangaa sana iweje mfungiane hivyoUnamwambia mtu wa mapokezi awafungie kwa nje au funga mlango ficha funguo, zikifeli hizi dawa ni kuacha uzinifu mrejee mola wako
Hata mm nashangaa yani, mbona jamaa analazimisha kuoza mdomo na magonjwa ya zinaa kiasi hiki. Huyu jamaa ni mzinifu wa machangudoa konki maana huwa namwona sana picnic anawaopoaMkuu wee jasiri sana unakula mate hadi changudoa
Kipindi hiko sikuwa na mke, kweli Nilikubuhu, siku hizi nimeacha kabisaaaaaaaaaa,Mbona Sasa hata raha haipo maana mnawindana, halafu mkuu Malaya sio mke wako ufike hatua ya kunyonyana mate wewe umekubuhu kumbe
Hakuna Malaya smart, nikujichetuwa tuMalaya smart huyu, anatembea na pen na karatasi dah haya ujumbe umetufikia lkn!!!
Hizo dawa zinaitwaje. Vp akikuwekea kwenye kinywajiHuenda ulinyonya chuchu zilizopakwa dawa za kulevya, hiyo ilimtokea facilitator wetu mmoja Arusha, tulikaa siku nzima hatumwoni tukajua hajafika kumbe alifika akazimishwa hotel
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mkuu hukumpiga mambataChangu akienda zake, washroom,make sure unaficha mapene yako na funguo za mlango chini ya godolo unapolala,ili akitaka kunyanyua godolo lazima akuguse wewe!
Kuna demu aliwahi nisachi kidume nikajifanya nimelala,kumbe nipo zangu macho namsoma tu! Asubuhi namwambia vipi ushajilipa mafao toka jana?? Anabaki anatoa macho tu
Asante sana kiongozi wangu ndomana unaitwa smartPole na inasikitisha sana...
Acha ushamba utakuja kufa na ukimwi boya wewe, sisi hatuna pesa za kuchangishana pampas apaMkuu mimi burudani ile siwezi kuchomeka tu, nikifanya hivyo hata kama nitakojoa ila nahisi kabisa nyege hazijakata, ndio maaa nilikuwa siwezi kununua hawa wa kuwainamisha nizamishe RUNGU, bora nipate twende ndani paogeke, PAFANYIKE.
Yeah inatokea, unajuaje huyo aliyekuibiya kwao sio DarUnatoka dar kama mjanja unaenda kupigwa tabora na malaya wa shamba daaah inasikitisha sanaa
Hii nahic itaendelea.....Ina episodes ngap hii??
Wezi wakubwa na majambazi wanakamatiwaga mikoani ndio mana mloto alikuwa anawanasa dodomaHapo nimeona aibu hadi Mimi aisee. Yaani unatoka salama Dar unaenda kufinyiwa kwa walima Tumbaku... Bora angeigeuza story ionekane alitokea Tabora
We jamaa hii banning umepigwa mda huu au? Umefanya nini tena mkuu. Kweli ban za JF ni kama kifo Leo mnapiga story kesho few seconds later unaambiwa hatuko nae tenaVip mmeshalipwa hapo MAWEKA COLLEGE ???
Tupe hizo mbinu kiongoziOngea na watu vizuri kuna mzee mmoja wa ntwara tulikutana kwenye gari fulani alinipa mbinu za kivita kama zote
Kwanza hakunaga vitanda hivyoHuwa silali gest ya hivyo maana huwa naona nimelala juu ya kaburi
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kuna mda atataka kuhakiki Mali zakeHii inakaaje ukiweka ufunguo kwenye mkoba wa malaya. Atakumbuka kuutafuta kwenye mkoba wake?
Mavi. Hashtuki ng'o tena atakuona mshamba tuMalaya wote ni washirikina njia pekee ni kumpiga biti utamloga. Washirikina uogopa Sana kulogwa
Niingie gharama mara mbili [emoji38][emoji38][emoji38]Njia salama ni kuchukua chumba kingine, hapo unaingia kama ulivyo bila mzigo wala wallet, unachukua pesa ya kutosha chumba na malipo yake kamili bila chenji. Uzoefu wa kibaharia huo.