Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

Ongeeni na watu vizuri mimi nishawahi waibia malaya kama wawili hiv waliokuwa wanataka kuniibia sema wakukuta ni born town[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] AU vipi
 
Ndo maana lodge nyingine unaandikiwa sheria kabisa chumbani kama una pesa au kitu cha thamani na unahitaji kutunziwa peleka mapokezi
 
Hiyo kampuni ya HBS imeisha kufa toka 2019, ilikuwa inazingua Sana hapa Tabora.
Alafu hilo eneo ulienda linaitwa OXYGEN LOUNGE au (shimoni) ,lipo eneo la kanyenye hapa Tabora. Hilo eneo kuna Malaya mpaka wa 2000.
 
Nikufundishe tu mdogo wangu.. ukiwa na demu yeyote awe ni malaya ama demu wako kabisa. Ukiingia kwako tu ama lodge hakikisha haya.
1. Wallet ficha
2. Toa ten weka mfuko wa suruali kuzugia.
3. Hakikisha ufunguo haupo mlangoni ficha.
4. Hakikisha unakuwa wa mwisho kulala na wa kwanza kuamka, ikiwezekana usisinzie kabisa. We muda wote omba mzigo
5. Usiende chooni ukamwacha room, subiri akiondoka ndio uingie bafuni/chooni
 
Vingo
Vingine ni chamsha baraza..

Tunawajua wauza nyabwa, wa dar unamkuta mpaka songea huko, wengine wanakodi chumba kabisa
 
Hiyo kampuni ya HBS imeisha kufa toka 2019, ilikuwa inazingua Sana hapa Tabora.
Alafu hilo eneo ulienda linaitwa OXYGEN LOUNGE au (shimoni) ,lipo eneo la kanyenye hapa Tabora. Hilo eneo kuna Malaya mpaka wa 2000.
Mimi sikuchukuwa wale wanaosimama nje nilichukuwa wa ndani
 
Hiyo kampuni ya HBS imeisha kufa toka 2019, ilikuwa inazingua Sana hapa Tabora.
Alafu hilo eneo ulienda linaitwa OXYGEN LOUNGE au (shimoni) ,lipo eneo la kanyenye hapa Tabora. Hilo eneo kuna Malaya mpaka wa 2000.
Vipi mkuu oxygen bado ipo
 
Unasumbuka sana
 
Mbona mateso yote haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…