Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

Ujengewe mnara.
Ukimkamata malaya dawa ni shoo libende usiku kucha Hakuna kulala kulala akalale kwao.Mechi mwanzo mwisho Ili usilale ukapigwa
Nakubali malaya sio wa kjnuachia achia show mwanzo mwisho uwa wanasimuliana huko wakiwa wanapiga story utasikia anawambia wenzake "duh jana sikulala kabisa nilipata mtu anakamua usiku mzima"[emoji41]
 
Narudia tena kusema kibaka anayeiba simu ni kilaza tu, pia anayeibiwa simu na asiipate ni kilaza haswaa.

Jitahidi ufute ujinga na vibaka vilaza (tena wa kike) watakoma kukuibia smartphone.
Kwani wezi wote wa natokea maeneo uliyowakuta? Malaya huwa wanazunguka Leo unamkuta tabora kesho kahama kesho kutwa Dar mwezi ujao Capetown
 
Jamaa yako ni mshamba na alivamia jiji kishamba
 
nakumbuka mara ya kwanza kufika singida ilikua 2012 nililala sehem inaitwa aqua uzuri bag lenye laptop wanakushauri uliandikishe pale mapokezi wanakuhifadhia sasa nikapata kamlupo nikazama nako ndichi mida ya sa nne mambo yakafanyika sasa nilikua na fungua ambayo inafanana na ya kitasa cha hicho chumba hivyo nilipokua nafunga nikachomoa funguo kwakua haikua na kibanzi kinachoonyesha namba ya chumba ile yangu nikaweka kwenye mfuko wa suruali ile ya mlango wa gest nkaiweka kwenye mfuko wa bukta bila yy kuniona bas tukalala usiku nikamsikia anaamka kavaa akachukua simu yangu wallet kakagua ina hela kidogo akachota akakagua begi langu hakupata cha maana bas akachukua suruali akatoa funguo huku ananiangalia kama bado nimelala akaweka ili afungue ikagoma akajua kabugi akarudisha kilabkitu mahali pake akavua nguo akarud kulala nikajidai nimestuka nikamuomba mchezo nikashindua tena sasa nimemaliza nkamwambia ulikua unataka kusepa haya ondoka na mida hiyo ni sa tisa nkamfukuza na hela niliyompa nikamnyang'anya walinzi walipokuja nkawachana nn kilichotokea wakasisitiza nimpe hata hela ya usafiri ikaitwa boda akasepa ila ningekaa kizembe ningeibiwa vibaya na ningetoka na aibu sana
 
Kwahyo ukoo wao ni malaya
 
Ebu muwe mnaweka fungua hata ndani ya kiatu halaf unakisukumia Uvunguni bhanaa.... Ikiwashindwa hiyo weka Funguo kweny Soksi halaf iweke chini ya Mto wa kulalia
 
Buuuuh!!! Mkuu hongera ulisoma rada mapema sana vinginevyo ungekuwa ktk hali tofauti
 
Baba Regina acha vituko.Kwa hiyo akasepa na wallet?Noma kimbwa!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ebu muwe mnaweka fungua hata ndani ya kiatu halaf unakisukumia Uvunguni bhanaa.... Ikiwashindwa hiyo weka Funguo kweny Soksi halaf iweke chini ya Mto wa kulalia
Unapigwa mapema tu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…