Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

Unachukua malaya halafu unalala kama upo kwako!?

Ukiwwa na malaya unalala kisteling stelingi, jicho moja linalala moja liko macho, likilala hili, hili linaka macho, kikomando komando kama Arnold schwarznegger
😄😄 mwamba kazini...

nimecheka wallahy

wanaume mnakazi jameni, Mungu awaweke
 
Buuuuh!!! Mkuu hongera ulisoma rada mapema sana vinginevyo ungekuwa ktk hali tofauti
Naogopa sana kuaibika hasa kwenye mambo ya ngono au starehe bora nionekane mshamba ila nitoke mji wa watu kwa amani na mambo mengine tunazembea wenyewe kuamini binadamu wenzetu kama vile wanatupenda sana
 
Huyu mwongo tu bhana wewe, kama alienda Nigeria basi ni kweli maana hizi sura nizaki.Nigeria
Mkuu kuna kitu haujakielewa hapo jina la uyo mtu alomtaja, ukitaka kumjua diamond ni lazima uwe mfatiliaji wa muziki hata kama kwa sura haumjui, hii kazi nakupa wewe ingia google search jina alotaja uyo mwamba ndiyo utaelewa kwanini nimempa hongera.
 
Kuna vitu ambavyo KAMWE Malaya mzoefu halafu mjanja hawezi kuvifanya:-

1) Hatakutajia majina yake halisi

2) Hawezi kukubali muoge pamoja kabla ya kuanza shughuli yenu.....never!

3) Hapendi uwe karibu na uongozi wa lodge/Guest au hotel mnayolala au umfahamu yeyote

4) Hapendi muongee sana au umhoji kuhusu maisha yake
Kuoga pamoja hata mimi sitaki, ataniambukiza gundu tu halafu Sina shida na jina lake mimi na uongozi wa lodge wa nini niko ugenini
 
Malaya hanyonywi matiti wala popote

Vitu vya thamani kabizi reception

Muachie receptionist buku tano hii imeni save sana kuna mmoja alinisachi ile anatoka akazuiwa akasema nimeruhusiwa akaitwa mlinzi akawekwa kati nikaenda shtuliwa nilimpa makonde kadhaa pale pesa yake sikumpa

.
 
Pana mtu alienda seminar mkoani akaopoa fish fish chuchu msumari akajifanya fundi wa kunyonya embe sindano akajikuta kaamka Saa nne kwa kuamshwa na muhudumu kaachiwa bastola pekee yake,malaya kakomba KILA kitu kuanzia pochi,begi la nguo, laptop na flash yake ya kuprezent kwenye kikao ofisini kesho.
Huyo ni ujinga ukichukua malaya wa kulala na hakikisha anaoga kwanza kabla ya chochote
 
5.Mrax haliwi romance wala halambwi mwili wake popote pale,mkiingia acha kujitia unayajua mahaba kenge wewe,linda mdomo wako na ulimi wako usionje chochote kile,piga mzigo Lala zako "mahaba waachie njiwa".

Unapokua vitani usijiachie usingizini lala kwa step maana kuna wengine ni ma PRO tekniki zote hizo na bado anaweza kukupga na kitu kizito.

Ili uwe salama njia ni 1 tu,Jisalimishe mapokezi kabidhi hadi roho yako mapokezi ukiingia room ingia bila hata roho,hawa viumbe wanawake (kahaba) sio watu ndio shetani mwenyewe huyo yani unamuona live live.


[emoji28][emoji28]
 
Kuna mwaka niliingia sehemu moja, kuna kibaridi kiaina, nikachukua mwali.. Kufika ndani nikajifanya kama nawasha feni, demu akadai feni ya nini, (kimoyo moyo nikasema umekwisha), hapo nishapiga calculations zangu, nishacross multiplication, nimepiga dy/dx, nishaprove jibu langu mara 10 kumi kama ni sahih.

Ikawashwa heater maji yanachemka, anazama tu bafuni pochi nikalichukua nikaliweka kule kule juu ya feni, tukaingia kuoga, tulipotoka picha likachezwa, nikala vyombo nikala vyombo, nikala vyombo, piga saana MUCHINGA, bidada ulimi njee, anaomba poo kaishafika kilimanjaro, mount meru, udzungwa, uluguru, atlas mpaka himalaya, mie akili yangu inasema huyu ni kukaza mpaka akose nguvu ya kushukia kitandani, akamaliza vilevile vyoote, akabakisha mabonde tu, ndio nikamuacha, mwali hoi, nilivyomuacha akalala kama alivyo, nikaifunika shuka, nami nikalala kwa uchovu, nikaja kushituka usiku mwingi mwali yuko viile vile, alfajiri tena vile vile, nikamtegea labda nipate cha alfajiri mwali kalala, kuja kushituka saa 2 namkuta nae ndio anaamka, nikaenda kuyakoga maji yangu, chai iko wapi.. Nikaruka tena kijoti..
Wapi pochi langu, huyooo nikasepa.

Angeniotea siku zile ningepagawa, pochi lilikuwa na hela, bado nilikuwa na kibunda kama cha 700k hivi.
Kumchinja Kobe, inahitaji timing
 
Ukiona Malaya humuelewi ficha Hela na begi lako, au Pesa na mizigo Yako weka mapokezi, watakuandikia malipo kama 5k tu au hata bure
 
Niliandika matusi mzee sii unajua tena ila sasa ndo ime unlokiwa afuuuu vip mzee kuna michongo huko ya hela !!! Maana niliendaga hadi kule KB kuonana na mratibu sensa ngoma ikawa haieleweki....
We jamaa hii banning umepigwa mda huu au? Umefanya nini tena mkuu. Kweli ban za JF ni kama kifo Leo mnapiga story kesho few seconds later unaambiwa hatuko nae tena
 
Niliandika matusi mzee sii unajua tena ila sasa ndo ime unlokiwa afuuuu vip mzee kuna michongo huko ya hela !!! Maana niliendaga hadi kule KB kuonana na mratibu sensa ngoma ikawa haieleweki....
Mbona umepigwa ban [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom