Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

Kuna mchizi wangu yeye mbinu yake kabla ya kuopoa kwanza anajenga urafiki na mwenye duka aliyekaribu na eneo hilo aka mangi.!! Kisha akiwa njiani kuelekea lodge anapotia kwa mangi ananunua cha kununua kisha anamkabidhi mboli aka pochi na mali zake nyingine kama simu ...anasepa na pesa ya kulipa malaya tu!
Hiyo rosk hapna kwakweli

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ukiona Malaya humuelewi ficha Hela na begi lako, au Pesa na mizigo Yako weka mapokezi, watakuandikia malipo kama 5k tu au hata bure
Nani sikuhizi anatembea na hela nyingi? Wakati huduma za MPESA, TIgopesa, Wakala wa benki zote wapo NMB, CRDB n.k?

Huyo anayeingia lodge na pesa nyingi ni Mjinga tu
 
Nilichukuaga bitch mmoja Njombe maeneo ya Equator Pub nikazama nae Lodge inaitwa P-Square kwa makubaliano ya mpaka morning(wakati huo nimeshafanya Pre-paid kama nanunua Luku), alivyoingia bafuni tu mimi nikaficha funguo chini ya godoro.
Basi bana baada mshikemshike wa first half nikazama bafuni ila nilipokua bafuni nilikua nawaza nimfukuze huyo bitch maana wakati huo pombe zimeshakata na kichwa cha chini kimesharudisha authority kwa kichwa cha juu.
Sasa ile natoka bafuni nakuta bitch imesimama mlangoni ikiwa imeshavaa nguo ilikua inataka isepe(kama angeziona funguo maana yake angenipiga usiku huo) nikamuuliza vipi mbona wimawima? Akaniambia anataka kuondoka,nikamwambia rudisha pesa niliyokulipa then nikufungulie mlango, hakua na namna ilibidi arudishe pesa nikampatia 5k kwa huduma kidogo aliyonipatia+ serengeti lite 6 alizokunywa akasepa zake na mimi nikapata na pesa ya Supu ya Kuku asubuhi.[emoji39][emoji39][emoji39]

Nb: Ukiwa ba stranger lodge hakikisha umeficha funguo tena ikiwezekana imeze kabisa hakafu uinye asubuhi [emoji41][emoji41]
Aliwahi mteja mwingine
 
Kuna mchizi wangu yeye mbinu yake kabla ya kuopoa kwanza anajenga urafiki na mwenye duka aliyekaribu na eneo hilo aka mangi.!! Kisha akiwa njiani kuelekea lodge anapotia kwa mangi ananunua cha kununua kisha anamkabidhi mboli aka pochi na mali zake nyingine kama simu ...anasepa na pesa ya kulipa malaya tu!
Duuh mm kwenye pesa siachiagi mtu, I believe no body kwenye fund
 
Kuna mwanangu mmoja aliopoa demu coco beach...wakakubaliana fresh kuwa wakitoka hapo wanaenda kulala. Wakapitia mazaga wakala fresh , wakatimba maeneo..demu akamuuliza jamaa anaishi wapi jamaa akamdanganya kila kitu mpk jina. Wakaingia maeneo kumbe jamaa pale alipolala ni karibu na mtaani kwao. Wakaingia ndani fresh jamaa alikuwa na pesa akaificha vizuri tu kwenye pochi akaacha manyoya tu. Wakapiga show, kila mtu akalala ila jamaa hakulala alikuwa ameegesha tu...demu baadae akaamka akaanza kumsachi jamaa..sachi sana suruali na shati akakuta wallet, kukagua anakuta buku 2 tu, kucheki simu anaona kiswaswadu. Demu akaona jamaa hana kitu bora alale tu. Akasinzia kweli.

Jamaa akanyanyuka yeye sasa, akamsachi demu akakuta hana pesa ila ana tambo kalo, samsung ya bei tu. Akachomoa line ..akaziacha hapo, akamuachia buku 2 ya nauli, akasepa!!
Ahahahaha [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Siwezi kuwa na amani yoyote kulala na mtu nisiyemjua.
Hapo ni unapiga anasepa au natoa taarifa kwa walinzi + wahudumu.
Ukimwacha aende saa nane usiku lazima nyege zikupande upige puli
 
Ilikuwa ni tarehe 12 mwezi wa 7 mwaka 2018 njiani kuelekea Tabora mjini tukiwa kwenye usafiri wa jumuiya HBS Express tukitokea Dar Es Salaam. Tulifika Tabora mjini saa tano usiku kutokana na changamoto ilijitokeza katikati ya safari Bus lilipasuka Tyre hivyo tulisubiri Tyre itoke Tabora mjini iletwe porini ambapo bus hili lilipata hitlafu, baada ya masaa mawili hivi tyre ililetwa wakafunga ngoma ikasepa. Mida ya saa tano usiku Tabora ilikuwa imezizima kiasi labda pale stend tu ndio kuna madogo wanakesha kulinda mizigo na mabus na kuuza vichipsi yai.

Nikaona niende lodge nikamtafuta bodaboda akanipeleka lodge moja inaitwa ZIMBABWE LODGE chumba 20000 nikachukua chumba ila usingizi ukagoma nikamuuliza mdada wa reception bar ya karibu nikapate kinywaji akasema niende Oxygen gas huwa wanakesha. Nilipoenda nikalewa nikachukua Malaya mmoja anaitwa Regina japo huwa wanataja majina ya uongo. Huyu Malaya nililala nae Ile kuamka saa mbili asubuhi nikakuta kaloweka nguo zangu zote, Kaiba simu yangu tecno photom six, Kaiba wallet jinsi ilivyo Ina pesa zote na vitambulisho.

Akaacha ujumbe wa maandishi mezani KOMA KUCHUKUA MALAYA USIOWAJUA KWAO NI WAPI. Nilitaka kulia ila kwa kuwa mimi ni mwanaume nilijikaza kisabuni, wahudumu walicheka sana wakisema mkaka umetoka safarini badala ulale unafanya uzinifu wa kipumbavu, walinitukana japo hawanijui heshima yangu ikawa zero. Nilichukuwa zile nguo nikaanika zilipokauka nikasepa bila kuaga.
View attachment 2330016
Tea bila sugar.
 
Kuna mwanangu mmoja aliopoa demu coco beach...wakakubaliana fresh kuwa wakitoka hapo wanaenda kulala. Wakapitia mazaga wakala fresh , wakatimba maeneo..demu akamuuliza jamaa anaishi wapi jamaa akamdanganya kila kitu mpk jina. Wakaingia maeneo kumbe jamaa pale alipolala ni karibu na mtaani kwao. Wakaingia ndani fresh jamaa alikuwa na pesa akaificha vizuri tu kwenye pochi akaacha manyoya tu. Wakapiga show, kila mtu akalala ila jamaa hakulala alikuwa ameegesha tu...demu baadae akaamka akaanza kumsachi jamaa..sachi sana suruali na shati akakuta wallet, kukagua anakuta buku 2 tu, kucheki simu anaona kiswaswadu. Demu akaona jamaa hana kitu bora alale tu. Akasinzia kweli.

Jamaa akanyanyuka yeye sasa, akamsachi demu akakuta hana pesa ila ana tambo kalo, samsung ya bei tu. Akachomoa line ..akaziacha hapo, akamuachia buku 2 ya nauli, akasepa!!
Nyie ni wezi
 
Duuh mm kwenye pesa siachiagi mtu, I believe no body kwenye fund
Mkuu kuna wale ambao wako machimboni!! Wanunuzi wa mtandaoni watakuwa wanafahamu hili!!! Yaani wewe unajilipua kwenda sehemu demu ambayo yupo! Hujui mtu mtaa huo! So ili ujilinde ni bora utafute sehemu ya kuhifadhi mali zako! Why mwenye duka ? cuz hawez kukimbia biashara yake!!
 
Nyie ni wezi
Hiyo inaitwa Tit for tat..hakuwa na lengo la kuichukua hiyo simu ila alipata tu hasira baada ya kuona demu anataka kumuibia wakati walisha spend sana pesa huko walipotoka na wakakubaliana malipo. Why apange kumuibia na kumkimbia? So malipo yake yalikuwa ni sh 2000 na kuingia hasara ya zaidi ya laki 2
 
Kuna mwanangu mmoja aliopoa demu coco beach...wakakubaliana fresh kuwa wakitoka hapo wanaenda kulala. Wakapitia mazaga wakala fresh , wakatimba maeneo..demu akamuuliza jamaa anaishi wapi jamaa akamdanganya kila kitu mpk jina. Wakaingia maeneo kumbe jamaa pale alipolala ni karibu na mtaani kwao. Wakaingia ndani fresh jamaa alikuwa na pesa akaificha vizuri tu kwenye pochi akaacha manyoya tu. Wakapiga show, kila mtu akalala ila jamaa hakulala alikuwa ameegesha tu...demu baadae akaamka akaanza kumsachi jamaa..sachi sana suruali na shati akakuta wallet, kukagua anakuta buku 2 tu, kucheki simu anaona kiswaswadu. Demu akaona jamaa hana kitu bora alale tu. Akasinzia kweli.

Jamaa akanyanyuka yeye sasa, akamsachi demu akakuta hana pesa ila ana tambo kalo, samsung ya bei tu. Akachomoa line ..akaziacha hapo, akamuachia buku 2 ya nauli, akasepa!!
Huyo jamaa ako Ni jambazi !
 
Ukibeba Malaya hakikisha funguo inawekwa pasipo julikana na baadhi ya vitu vyako muhimu unaficha kiasi akihitaji chochote lazima aombe msaada kwako😀😀
 
Mkuu wee jasiri sana unakula mate hadi changudoa
Huyu cha mtoto, kuna siku nimekamata malaya wangu tunaenda rum kumbe ni rum wanashea, ile mlango umefunguliwa naona kajamaa kamemuweka malaya kitandani style ya kifo cha mende miguu juu halafu kenyewe kamepiga magoti sakafuni kanazama chumvini, demu linarembua tu. I was like WTF!!! Asee siku ile niliona pamoja na umalaya wangu wooote ila kuna watu wamenizidi.

Nikabaki nimesimama kama mlingoti nawashangaaa, kajamaa kamezamisha kichwa hata hakionekani naona vimatako na kiwiliwili tu, lishangazi linarembua tu kwa utam, hapo malaya wangu yupo chooni
 
Wenzio kama huelewi fungus unaficha sehemu ambayo ni mafichoni kweli kweli
 
Mimi huwa sinyonyi chuchu zao maisha
Ukitaka uwe na amani we mwambie malaya nimekimbia lindo wenzangu wao wanazunguka huko..alafu piga simu moja ya uwongo ya kumtaarifu afande bandia kuwa upo sehemu flani kikitokea cha kutokea akutaarifu chap..nakuhakikishia huyo malaya yeye ndio atakuomba namba na atakuwa anakutafuta.
 
Back
Top Bottom