Yaliyonikuta Ziwa Rukwa sitokaa niyasahau

Duuuu
 
Aina ya usimuliaji ni ile ile. Kwa nini unapenda sana kubadili ID? Unajitihidi ila bado kiwango chako cha uandishi hakiwezi kuteka mtu kama mimi. Kuna mambo mengi sana hayana uhasilia kwenye simulizi zako.
Kama Mpwayungu kijiji vile!!
 
Duh kweli huko nihatar nilisha skia masimulizi yake..huko nichaka la makatili

Na kuna sehem huko Ntwala mpakan na msumbiji huko kuna ukatili sana..kuuwana nijambo lakawaida sana..na sehem nyingine huko mbeya ndan ndan kuuwana ni jambo lakawaida..ila kwenye hatari ndipo pesa ipo
 
Unaweza kukosa ushindi kwa uzembe wako
 
Pole sana homeboy Kule ziwani ni chuo cha Maisha ya wanaume ni kama machimboni tu pole kwa mtihani huo pole pia kwa kuondokewa na mzee Wetu kayuni so kwasasa mishe wapi?
Sometime wanaume tunapitia mengi katika kutengeneza life, haina kukataa tamaa
 
Ungekuja kirando Republic hakika yasinge kukuta hayo yote Cha kumshukuru Mungu huu mzima mpaka Sasa .

Ukweli ni kwamba Rukwa(sio mkoa) ni sehemu ambayo watu wengi wenye social problems mbalimbali hukimbilia uko kujificha.
Dah kirando long time , wape hi hapo akina Frank katabi , Moris kitumbo na waha wote hapo bila kumsahau mama Sikazwe , je bado kessy ni diwani wenu ? Vipi masoja wanaendeleza utaratibu wa kulala saa mbili kila kaya ? [emoji1787][emoji1787]

Nazikumbuka sana pande hizo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…