Yaliyotokea arusha, r.i.p freedom fighters...

Yaliyotokea arusha, r.i.p freedom fighters...

Nakumbuka walivyoua zanzibar walisema askari walikuwa wanajilinda sababu waandamanaji walibeba silaha, sasa sijui ARUSHA waliua sababu gani. RIP. RAHA YA MILELE UMPE EEH BWANA, NA MWANGA WA MILELE UMUANGAZIE,APUMZIKE KWA AMANI.
 
Mungu wangu,Ipo siku tuaishi bila serikali dhulumishi,katili kama hii.
 
So sad. Hii naona walikusudia kabisa maana kama ni kuumiza tu wangepiga sehemu nyingine ya mwili. But on the chest, no I can not believe if that was not a staged issue. But CHADEMA, viongozi wa dini and other well wishers tuendelee kuwaelimisha wananchi kuhusu ubaya wa hawa SSM ili 2015 uamuzi sahihi zaidi ufanyike kupitia kwa wapiga kura. Tired.
 
Back
Top Bottom