Alistalikopaul
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 720
- 1,995
Sio sheria mpya zipo siku zote ni vile tu wakati huu ndo zimekaziw sana Hasa kombe la dunia Colina alitoa ufafanuzi wa kuelewekaMkuu ila Kombe la Dunia si ni sheria mpya hizo? Una uhakika katika ligi ya sasa, sheria hizo zimeshakuwa adopted maana sheria mpya zinachukuliwa mwanzoni kwa msimu siyo katikati?
Kwahiyo kama mpira haujachezwa kabisa kutokana labda na medical emergency kwenye dk zilizoongezwa mpira uishe dk hizo zikiisha??..Kwa ufahamu wangu wa mpira ni kwamba pale dakika za nyongeza zinapotangazwa, ndiyo hizo hizo zinatakiwa kutumika hata kama kuna timu itakayofanya mchezo mchafu wa kupoteza muda. Mara moja moja naona refa anaweza kuongeza kadakika kamoja zaidi ila siyo kudouble muda kwa sababu yoyote ile.
Game ya leo inayoongelewa sijaangalia ila nakumbushia tu.
Sidhani kama uko sahihi.Kwahiyo kama mpira haujachezwa kabisa kutokana labda na medical emergency kwenye dk zilizoongezwa mpira uishe dk hizo zikiisha??..
Lazima mpira uchezwe hadi dk hizo zitimie.refa anatumia tu stop watch kumonitor hizo dk
Ndugu yangu kabwili hili sio lalamiko tunaelezea hali halisiMakolokolo/Mbumbumbu/Malalamiko/Makelele/Kolowizards/Ngada daaah...[emoji23]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hapana,zikiongezwa dakika 4 na mkaanza kunilaza laza,refa anakuwa anasimamisha muda mpaka dakika 4 za mchezo zifike!Kwa ufahamu wangu wa mpira ni kwamba pale dakika za nyongeza zinapotangazwa, ndiyo hizo hizo zinatakiwa kutumika hata kama kuna timu itakayofanya mchezo mchafu wa kupoteza muda. Mara moja moja naona refa anaweza kuongeza kadakika kamoja zaidi ila siyo kudouble muda kwa sababu yoyote ile.
Game ya leo inayoongelewa sijaangalia ila nakumbushia tu.
✊Hapana,zikiongezwa dakika 4 na mkaanza kunilaza laza,refa anakuwa anasimamisha muda mpaka dakika 4 za mchezo zifike!
Fikiri kama zimeongezwa dakika 4,halafu golikipa akajifanya kaumia!Na Unajua golikipa anatibiwa uwanjani!Vp kama anakuja kunyenyuka dakika za nyongeza zimeisha?Refa apige kipenga kumaliza mchezo?
Kama umeangalia kombe la dunia basi usitumbue macho,chukua mawili matatu utanue wigo wako wa masuala mbalimbali ya mpira!