Yaliyotokea Leo Chamazi baina ya Azam vs Coastal Union ni aibu kubwa sana kwa soka letu Tanzania

Kwa ufahamu wangu wa mpira ni kwamba pale dakika za nyongeza zinapotangazwa, ndiyo hizo hizo zinatakiwa kutumika hata kama kuna timu itakayofanya mchezo mchafu wa kupoteza muda. Mara moja moja naona refa anaweza kuongeza kadakika kamoja zaidi ila siyo kudouble muda kwa sababu yoyote ile.

Game ya leo inayoongelewa sijaangalia ila nakumbushia tu.
Kwahiyo kama mpira haujachezwa kabisa kutokana labda na medical emergency kwenye dk zilizoongezwa mpira uishe dk hizo zikiisha??..

Lazima mpira uchezwe hadi dk hizo zitimie.refa anatumia tu stop watch kumonitor hizo dk
 
Acheni wivu [emoji23][emoji23][emoji23]
Game ya Jana nimeangalia na refa hana kosa lolote

Kama waliotegemea kuzurula halafu filimbi ipigwe muda huo huo basi imekula kwao

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo kama mpira haujachezwa kabisa kutokana labda na medical emergency kwenye dk zilizoongezwa mpira uishe dk hizo zikiisha??..

Lazima mpira uchezwe hadi dk hizo zitimie.refa anatumia tu stop watch kumonitor hizo dk
Sidhani kama uko sahihi.
 
Kwa ufahamu wangu wa mpira ni kwamba pale dakika za nyongeza zinapotangazwa, ndiyo hizo hizo zinatakiwa kutumika hata kama kuna timu itakayofanya mchezo mchafu wa kupoteza muda. Mara moja moja naona refa anaweza kuongeza kadakika kamoja zaidi ila siyo kudouble muda kwa sababu yoyote ile.

Game ya leo inayoongelewa sijaangalia ila nakumbushia tu.
Hapana,zikiongezwa dakika 4 na mkaanza kunilaza laza,refa anakuwa anasimamisha muda mpaka dakika 4 za mchezo zifike!
Fikiri kama zimeongezwa dakika 4,halafu golikipa akajifanya kaumia!Na Unajua golikipa anatibiwa uwanjani!Vp kama anakuja kunyenyuka dakika za nyongeza zimeisha?Refa apige kipenga kumaliza mchezo?
Kama umeangalia kombe la dunia basi usitumbue macho,chukua mawili matatu utanue wigo wako wa masuala mbalimbali ya mpira!
 
Back
Top Bottom