Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FIFA ndio wanatoa miongozo ya uchezeshaji na uendeshaji wa mpira wa miguu. Toka michuano hii ya kombe la duniani ianze tumeona mechi nyingi tu zimeongezwa zaidi ya dakika 12, first half dakika nne na second half dakika nane huku kukiwa hakuna upotezaji wa muda wa kupangwa kama ilivyokuwa kwa Coastal Union jana.yaah Angalia mechi ya Argentina na Saudi Arabia, dakika za nyongeza zilikuwa 8 na bado mwarabu akapoteza muda kwa kujiangusha hovyo. ikabidi refa aongeze dakika nyingine 8. Kiufupi mambo ya kupoteza muda ni uhuni.
Acha tubebwe tu na sie Azam ni team ya TanzaniaMpira sijaangalia lakini kwa mujibu wa maelezo yako ndugu yangu, dk ziliongezwwa 4,mchezo uliendeleq dk ya 95, 95+4=99, sasa iweje game ifike 101 kama mleta mada alivyodai?
Na lile goal wamefungwa kwa laana ya Mungu mpira umegonga beki ukawa clear assist kwa iddy NadoMimi nashangaa sana watu wako na mawazo kila kitu kuhongwa refa alikuwa sahihi kabisa na hii kusema dakika za nyongeza mfano 4 haina maana dakika 4 tu maana yake chini kabisa dakika 4 ila kwa mechi kulikuwa na muda mwingi ukapotezwa na dawa ya hii ndio refa kufidia lakini team nzuri kama umeweza kuzuia kwa dakika 90 na wewe mzuri unalia kwa dakika 4 kitu gani? kama wanalia kwa dakika 4 basi wanastahili kufungwa team nzuri yenye kutaka kushinda imeshinda.
Refa wa jana anastahili pongezi,1. Dakika za nyongeza zilikuwa 4 lakini zimepigwa dakika za nyongeza 10.
2. Baada ya kuongeza dakika hizo, azam wakafanikiwa kufunga bao la 3 na la ushindi, hivo matokeo yakawa 3-2
3. Vurugu kubwa imetokea uwanja wa chamazi kutoka kwa wachezaji wa coastal ambao waliona dhahiri shahiri haukuwa mpira tena bali ni mipango
4. Ligi imeshafikia pabaya, mazingira ya leo pale chamazi yameleta simanzi sana, sana, sana, sana
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Uliangalia mechi ya Argentina na Saudia Arabia? utapata jibuMpira sijaangalia lakini kwa mujibu wa maelezo yako ndugu yangu, dk ziliongezwwa 4,mchezo uliendeleq dk ya 95, 95+4=99, sasa iweje game ifike 101 kama mleta mada alivyodai?
Mkuu ila Kombe la Dunia si ni sheria mpya hizo? Una uhakika katika ligi ya sasa, sheria hizo zimeshakuwa adopted maana sheria mpya zinachukuliwa mwanzoni kwa msimu siyo katikati?Muhimu umesema kwa ufahamu wako Ila kwa taratibu za soka sio hivyo. Angalia hata kombe la dunia mwaka huu muda wowote unaopoteza lazima ufidiwe wakiongeza 6 ukizipoteza watafidia mpka zifike dakika halisi za kucheza.
Game za mwanzo team zilikua zinapoteza muda Ila tangu waone utaratibu wa kufidia dakika wote wameacha ujinga.
Hana kosa kivipi mkuu?Umeangalia mpira ndg....
Coastal wajilaumu wenyewe refa Hana kosa
game ilifika dk101 kwa sababu ya vurugu walizokuwa wanazifanya wachezaji wa coastal union waliokuwa bench refa alilazmika kusimamisha mpira kutuliza hali ya uwanja baada ya kuanza kutupiwa makopoMpira sijaangalia lakini kwa mujibu wa maelezo yako ndugu yangu, dk ziliongezwwa 4,mchezo uliendeleq dk ya 95, 95+4=99, sasa iweje game ifike 101 kama mleta mada alivyodai?
AZAM nayo sasa ivi ni timu kubwa so lazima waangaliwe na wahamuzi siyo kama zamaniTunaweza kuwatetea Azam kweli lakini kwanini mechi zote sasa hivi zinazochezwa pale chamanzi refa lazima aharibu
Azam timu kubwa?AZAM nayo sasa ivi ni timu kubwa so lazima waangaliwe na wahamuzi siyo kama zamani
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama kawaida watoto wa kambo wa taifa hamuishiwi lawama. Simba mna shida gani, mmeanza kuwaonea wivu hadi Azam?
Sheria mpya zimeanza lini? mpira una sheria 17 worldwideMkuu ila Kombe la Dunia si ni sheria mpya hizo? Una uhakika katika ligi ya sasa, sheria hizo zimeshakuwa adopted maana sheria mpya zinachukuliwa mwanzoni kwa msimu siyo katikati?
Kipindi Azam FC ananyongwa watu walikaa kimya na sasa hivi mkae kimyaTunaweza kuwatetea Azam kweli lakini kwanini mechi zote sasa hivi zinazochezwa pale chamanzi refa lazima aharibu
Huwa najiuliza sana huu upitezaji wa muda kwa wachezaji wa Tanzania una faida gani kwa soka letu? Kwa ujumla Tanzania ndio nchi ambayo wachezaji wanapoteza muda bila sababu kwa muda mrefu na hawachukuliwi hatua sitahiki. Nilianzisha Uzi wiki iliyopita nikisema kanuni za kufidia muda wote uliopotezwa zilizoanzishwa na Corina ziletwe na huku tuone kama kina Metacha Mnata watajilaza tena dakika 4.Nipo upande wa refa licha ya kuwa sishabikii soka la bongo na yote sababu ni nidhamu ya wachezaji wa kibongo na ligi nzima...
Yaani ukitaka kuchukia mpira wa bongo timu underdog ifunge goli la mapema yaani soka linakuwa limeisha...
Kujiangusha angusha kusiko isha, kujiumiza ata kama mchezaji hakuguswa....
Leo refa kawaonesha wachezaji wazembe namna watazamaji wanapenda soka na siyo maigizo maana wanatoa pesa na muda wao ili kupata burudani na siyo vinginevyo...
NOTE:
"Angalia world cup uone mpira siyo maigizo"
Asante