Yaliyotokea Oktoba 29 hayawezi kusahulika kiurahisi, sawa na kusema tusahau biashara ya utumwa

maandamano

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2025
Posts
726
Reaction score
1,548
Hawa Viongozi wa CCM siyo wa kuwasikiliza wala kuwaamini wote lao ni moja na ndiyo walioiba kura katika uchaguzi wa Oktoba 29 na wakawaua watanganyika ambao hawakuwa na silaha.

Hivi unamwambia mtu asahau aliyeuliwa ndugu yake mkashindwa kumpa maiti yake inaingia akilini kweli?Tena waliouliwa na watu tuliowaamini Jeshi la Polisi na hakuna mpaka leo aliyewahi kuwajibishwa kwa mauaji hivi hii si serikali ya kigaidi jamani?

Sijawahi kuona kitu kibaya duniani kama hiki najua ipo watakamatwa hawa wanaojifanya Viongozi na watakabidhiwa kwenye vyombo vya sheria vya kimataifa na ndipo labda wafiwa wa ndugu waliopotea nafsi zao zitatulia bila hivyo wataendelea kuomboleza daima labda mpaka hiki kizazi kilichoshuhudia haya kitakapokuwa kimefutika.
 
Kwani uliona maandamano 29/10? Sanasana kulikuwa na magenge ya waharibifu wa miundombinu na wezi wa mali za watu

Yaani ICC waje wamshtaki Rais na wasidizi wake (JWTZ & TANPOL), waliozima machafuko ya uharibifu wa mali, wizi, uchomaji moto mali kwa ufanisi wa hali ya juu ndani ya masaa 12???
Hakuna ICC ya hivyo. On the contrary tuvisifu vyombo vyetu kwa kutuheshimisha maana wale MAHAYAWANI walikuwa wanatupeleka pabaya kwa kisingizio cha maandamano ya kudai haki
 
Hata wafuasi wa madikteta kama nyie walikuwa watetezi wa wahalifu kama nyie lakini mwisho wa siku walisimama mbele za haki na kuhukumiwa kwa haki
 
Ukweli unaouma ni kwamba..
1.Wameua watu wengi mno wasio na hatia
2.Sio wabunge,mawaziri,viongozi wa dini zote..kuna wengi tu hii misiba inawahisu,ila sababu ya hali ya kisiasa wanakufa na vinyongo vyao..

Katika kosa kubwa kabisa CCM wamefanya tangu wawe madarakani ni hili!...
Its done!
 
Babu zetu walipelekwa Uarabuni kwenye biashara ya Utumwa.

Waarabu washenzi waliwaasi babu zetu.
Kizazi cha Mtu mweusi kikapotea Uarabuni.
 
Hata wafuasi wa madikteta kama nyie walikuwa watetezi wa wahalifu kama nyie lakini mwisho wa siku walisimama mbele za haki na kuhukumiwa kwa haki
Nitajie hao wafuasi wa madikteta unaowaongelea
 
Ukweli unaouma ni kwamba..
1.Wameua watu wengi mno wasio na hatia
2.Sio wabunge,mawaziri,viongozi wa dini zote..kuna wengi tu hii misiba inawahisu,ila sababu ya hali ya kisiasa wanakufa na vinyongo vyao..

Katika kosa kubwa kabisa CCM wamefanya tangu wawe madarakani ni hili!...
Its done!
Katika jambo wamefanikisha sana katika Afrika nzima ni kuzima machafuko ambayo yangeleta vurugu kubwa ndani ya saa 12 tu. Big respect to TANPOL na JWTZ
 
heri ya mwaka mpya ndugu zangu . JANUARY ILIKUWA YA BATA . SASA NI MAPAMBANO , TUMEISHIA WAPI ? CCM MTUACHE , ACHENI KUTUZINGUA , WAPI WALIPOKOSEA CCM ? ACHENI ZENU JAMANI .
 
Tunawezaje kusahau huku tukiwaona wauaji wa maelfu ya Watanganyika wenzetu wakiranda randa mitaani , tunawezaje kusahau huku miili ya wapendwa wetu ilifukiwa kama mizoga ya mbwakoko na mingine ikichomwa moto kama yanavyochomwa mawe ya jasi ili kutengeneza sementi? Tunawezaje kusahau wakati aliyetoa amri watoto wetu wasiokuwa na hatia wapigwe risasi kama ngedere huku kila siku akitoa maneno ya kutukejeli? Hili halijaisha na kama ni jeraha bado lingali linavuja damu.
 
Back
Top Bottom