Yaliyotokea UDA ndiyo yatakayoipata Simba.

Nani amekwambia Ana taka apewe yeye?
moo Ana viwanda vingapi?
Moo Ana biashara ngapi?
Moo Ana magari mingapi semi trailer?
Na madogo mangapi?
Hatakuja kuhangaika na Yale mabanda?

Mzee Kilomoni ana akili kuliko wewe ndugu
 
mkuu... Simba & Yanga ni timu za kichawi tu wala usipoteze raslimali muda wako ku reason na wafuasi wa hizi timu 2.

ufahamu wa wafuasi wa hizi timu umekuwa possessed na ushirikina as a result.
 
Kwani mapato ta simba hatuyajui.. mfano zile bil za mashindano ya africa pamoja na ubingwa wa TPL zimeenda wapi.

Usijitoe akili
We unafikiri simba wamefikaje hapo na kupata hayo mabilioni, tumia akili kidogo hata ile kuvukia barabara
 
Followers wa Barca na Man U hawatoi hela hovyo. Simba inatakiwa iajiri watu wa masoko na department zingine kutoka Ulaya. Au popote wenye uwezo was kufanya timu kuwa na bidhaa zitakazouzika kwa wananchi. Watu M 1 wakinunua jezi Kila moja 15k unapata 15B. Wenye uwezo wa kufanya hayo sio hawa viongozi.

Kama ambavyo makocha wa bongo wamechokwa,wakachukuliwa Ulaya. Na baadhi ya department iwe hivyo hivyo.
 
Bora umesema mkuu kuna fuata upepo humu huwambii kitu kuhusu Huyo muwekezaji tapeli
 
hizo ni ndoto.
Na haziwezi kutimia yaani siku moja club za yanga na simba zije kutegemea mauzo ya jezi kuendeshea timu zetu.
Naona bado umelala.
 
[emoji3][emoji3]basi tukubali kupigwa mkuu nakumbuka mzee kikwete alisema huwezi kula bila kuliwa
Akili za wabongo! yaani upigwe kivip? hiv pale simba ww unamiliki nn? au na ww nishabk tu kama tulivyo wengine
Sisi tunataka maendeleo ya timu yaani timu ifanye vizur Lig kuu bongo na mashindano mengine na kufanikisha hli nilazia timu iwe na pesa zakutosha sasa kati ya kilomoni na mo nani anaweza kua pesa za kuweka pale simba?
 
Ebu jitangaze kwanza kama ni mwana simba au mwana yanga, duniani kote tumeona mchezo wa mpira wa miguu ukipiga hatua kubwa kwa kupata uwekezaji mkubwa. Kama unataka tembeza bakuli endelea tu lakini kama wapo wanaojua mpira ni biashara wapewe nafasi, yote ni kukuza uchumi na kuongeza ushindani. Nakushauri ukatafte hata timu ya kijiji ujaribu kuwasaidia ili uwe na uelewa mpana wa unachokisema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…