Yaliyotokea UDA ndiyo yatakayoipata Simba.

Yaliyotokea UDA ndiyo yatakayoipata Simba.

Nani amekwambia Ana taka apewe yeye?
moo Ana viwanda vingapi?
Moo Ana biashara ngapi?
Moo Ana magari mingapi semi trailer?
Na madogo mangapi?
Hatakuja kuhangaika na Yale mabanda?

Mzee Kilomoni ana akili kuliko wewe ndugu
 
Si umeleta hoja ijadiliwe? Kama Mo anatakiwa atoe bilioni 20 kama thamani ya Hisa 49% anazotakiwa kuuziwa Simba, hiyo maana yake Klabu ina thamani zaidi ya shilingi bilioni 40. Sasa uthibitisho kwamba Klabu ya simba ina thamani zaidi ya shilingi bilioni 40 tunaupataje kama si kwa kuziona hati za mali na hesabu za mapato na matumizi ya Klabu?

Sisi wengine ni Simba maendeleo siyo simba Sunderland!!
mkuu... Simba & Yanga ni timu za kichawi tu wala usipoteze raslimali muda wako ku reason na wafuasi wa hizi timu 2.

ufahamu wa wafuasi wa hizi timu umekuwa possessed na ushirikina as a result.
 
Kwani mapato ta simba hatuyajui.. mfano zile bil za mashindano ya africa pamoja na ubingwa wa TPL zimeenda wapi.

Usijitoe akili
We unafikiri simba wamefikaje hapo na kupata hayo mabilioni, tumia akili kidogo hata ile kuvukia barabara
 
hao followers wa simba na yanga wanachangia nini kwenye club?
hauoni yanga wanavyolazimisha michango?
Walitumia njia za simu holaaa.
Benki account holaaa.
Watu hela hawanaaa na kama wanazo hawatoi.
Sisi ni mashabiki MANENO TU.
hata jezi hatununui KLABU ITAPATA WAPI HELA?
Followers wa Barca na Man U hawatoi hela hovyo. Simba inatakiwa iajiri watu wa masoko na department zingine kutoka Ulaya. Au popote wenye uwezo was kufanya timu kuwa na bidhaa zitakazouzika kwa wananchi. Watu M 1 wakinunua jezi Kila moja 15k unapata 15B. Wenye uwezo wa kufanya hayo sio hawa viongozi.

Kama ambavyo makocha wa bongo wamechokwa,wakachukuliwa Ulaya. Na baadhi ya department iwe hivyo hivyo.
 
Bora umesema mkuu kuna fuata upepo humu huwambii kitu kuhusu Huyo muwekezaji tapeli
Huyu Mr MO amekabidhiwa simba bila hata kutoa fedha ambazo zinampa share anazo miliki.

Sinahakika kama huyu bwana anahitaji simba zaidi ya kutaka raslimali za simba kwa ajili ya biashara zake na matangazoya biashara zake kwa kupitia simba.

Tunaomba vyombo vya usalama wekeni macho yenu karibu. Hatutaki mambo ya UDA yatupate club kwongwe na yenye heshima kama simba.

Yangu macho.
 
hizo ni ndoto.
Na haziwezi kutimia yaani siku moja club za yanga na simba zije kutegemea mauzo ya jezi kuendeshea timu zetu.
Naona bado umelala.
Followers wa Barca na Man U hawatoi hela hovyo. Simba inatakiwa iajiri watu wa masoko na department zingine kutoka Ulaya. Au popote wenye uwezo was kufanya timu kuwa na bidhaa zitakazouzika kwa wananchi. Watu M 1 wakinunua jezi Kila moja 15k unapata 15B. Wenye uwezo wa kufanya hayo sio hawa viongozi.

Kama ambavyo makocha wa bongo wamechokwa,wakachukuliwa Ulaya. Na baadhi ya department iwe hivyo hivyo.
 
[emoji3][emoji3]basi tukubali kupigwa mkuu nakumbuka mzee kikwete alisema huwezi kula bila kuliwa
Akili za wabongo! yaani upigwe kivip? hiv pale simba ww unamiliki nn? au na ww nishabk tu kama tulivyo wengine
Sisi tunataka maendeleo ya timu yaani timu ifanye vizur Lig kuu bongo na mashindano mengine na kufanikisha hli nilazia timu iwe na pesa zakutosha sasa kati ya kilomoni na mo nani anaweza kua pesa za kuweka pale simba?
 
Huyu Mr MO amekabidhiwa simba bila hata kutoa fedha ambazo zinampa share anazo miliki.

Sinahakika kama huyu bwana anahitaji simba zaidi ya kutaka raslimali za simba kwa ajili ya biashara zake na matangazoya biashara zake kwa kupitia simba.

Tunaomba vyombo vya usalama wekeni macho yenu karibu. Hatutaki mambo ya UDA yatupate club kwongwe na yenye heshima kama simba.

Yangu macho.
Ebu jitangaze kwanza kama ni mwana simba au mwana yanga, duniani kote tumeona mchezo wa mpira wa miguu ukipiga hatua kubwa kwa kupata uwekezaji mkubwa. Kama unataka tembeza bakuli endelea tu lakini kama wapo wanaojua mpira ni biashara wapewe nafasi, yote ni kukuza uchumi na kuongeza ushindani. Nakushauri ukatafte hata timu ya kijiji ujaribu kuwasaidia ili uwe na uelewa mpana wa unachokisema
 
Back
Top Bottom