Yaliyotokea UDA ndiyo yatakayoipata Simba.

Yaliyotokea UDA ndiyo yatakayoipata Simba.

Basi?
kwa hyo moo atoe hela sisi tutoe majengo na mashabiki na wanachama TU?
haya mambo ndo yaliyomfanya manji kukimbia yanga. Walitaka awe mwenyekiti wao. ILA HAPO HAPO ATOE HELA.
CLUB INATAKIWA IJIENDESHE YENYEWE.
Sio kutegemea hela za mwenyekiti.
Vinginevyo auziwe timu.
Thamani ya majengo pamoja na mashabiki na wanachama wa simba ndio thamani yao ni 51%.
 
Nyie watanzania mna vioja sana mshaaza kumletea mo mizengwe wivuu utawaua ndomana mnakua masikini wa mda wote
Mirija imekatwa rasmi lazima njaa isumbue tumboni.

Vilabu vya simba na yanga vinateseka njaa kwa sababu vimezungukwa na mchwa wengi sana ambao ndiyo machimbo yao ya kupigia mpunga
 
Ww jamaa ni kiazi kabisa,kipindi mchakato unaanza hadi kupitishwa ulikuwa wapi kutoa haya maoni yako?!!au ulikuwa kwenye "coma".
wewe ndio kiazi si ajabu ni zao la shule za kata hivi unafikiri kwanini sasa hivi serikali inamnyanganya Mo mashamba ya katani hujui alichukulia mkopo na akalima sehemu ndogo pia jifunze kubishana kwa hoja sio wote wanaompinga Mo wanampinga kwa chuki binafsi jifunze kusoma na kutafakari unachokisoma inawezekana iQ yako ndogo inasababishwa ama kutopata mlo kamili au kula chakula kisicho sahihi
 
Basi?
kwa hyo moo atoe hela sisi tutoe majengo na mashabiki na wanachama TU?
haya mambo ndo yaliyomfanya manji kukimbia yanga. Walitaka awe mwenyekiti wao. ILA HAPO HAPO ATOE HELA.
CLUB INATAKIWA IJIENDESHE YENYEWE.
Sio kutegemea hela za mwenyekiti.
Vinginevyo auziwe timu.
Ndio maana yake maana hiyo ndio thamani ya hisa 51%, kama aliona klabu haina thamani hiyo kwa nini alikubali asilimia 49% kwa bilioni 20?
 
kwani alisema ataweka billion 20. katika account ya Simba Au atafanya uwekezaji wenye thamani ya billion 20?

Kipi kinamzuia kufanya huo uwekezaji wa bil 20 hadi wanalilia hati? alikuwa na haraka ya nini wakati hakuwa anajua thamani halisi ya klabu na sasa anapitia madeni na mali za klabu ili kujua thamani ya klabu?
 
Kipi kinamzuia kufanya huo uwekezaji wa bil 20 hadi wanalilia hati?
Mo hajalilia hati bali anataka hati ziwe sehemu ya Klabu ya Simba na siyo iwe mikononi mwa mtu binafsi. Unaposema kwamba Simba inamiliki yale majengo wakati hati zake hazionekani maana yake ni nini?

Kuna watu ama mlikuwa wadogo au mlikuwa hamjishughulishi na mambo ya Simba wakati mgogoro wa umiliki wa lile Jengo la Kitega uchumi pale Msimbazi. Mgogoro ule uliamuliwa kwa shida sana kwa kuwa simba haikuwa na hati.

Hati za yale majengo anayo nani?
 
Mo hajalilia hata bali anataka hati ziwe sehemu ya Klabu ya Simba na siyo iwe mikononi mwa mtu binafsi. Unaposema kwamba Simba inamiliki yale majengo wakati hati zake hazionekani maana yake ni nini?

Kuna watu ama mlikuwa wadogo au mlikuwa hamjishughulishi na mambo ya Simba wakati mgogoro wa umiliki wa lile Jengo la Kitega uchumi pale Msimbazi. Mgogoro ule uliamuliwa kwa shida sana kwa kuwa simba haikuwa na hati.

Hati za yale majengo anayo nani?
Sawa kaka, Swali la hati za majengo anazo nani hilo swali bwana Mo alitakiwa kujiuliza mapema maana yeye si mgeni hapo simba.
 
Nyie watu mna fikra za kijamaa kwenye hela za watu. Yaani huwa mnataka Klabu iwe na "Mfadhili" ila huyo mfadhili akitaka awe mmiliki mnaanza gubu. MO anavyotoa hela alizopata toka kwenye biashara zake huwa mnadhani anatoa kwa kuwa hana kazi nazo?

Tatizo la Simba ni "Uswahili". Unaposema unampa mtu hisa si lazima zikokotolewe toka kwenye thamani ya rasirimali zilizopo. Leo hii nani anajua thamani ya Simba?

Mnataka MO atoe bilioni 20 kwa yale Majengo yenu mawili pale Msimbazi na ule uwanja wa Bunju ambao haujaendelezwa?
Shida ya watanzania uswahili mwingi
 
Sawa kaka, Swali la hati za majengo anazo nani hilo swali bwana Mo alitakiwa kujiuliza mapema maana yeye si mgeni hapo simba.
Unajua watu wengi mnajipotosha mnapoamini kwamba tayari kisheria simba na Mo walishafikia kupeana hizo hisa. Kilichotokea ni kwamba kuna Azimio la Mkutano mkuu wa simba kukubali kumpa Mo hisa lakini hakuna makubaliano ya kisheria yaliyofikiwa,

Ili Mo amiliki hizo hisa 49% ni lazima kuwe na makubaliano ya kisheria ambayo yatasimamiwa na pande mbili yaani Klabu ya simba na mwekezaji Mo. Nani anaweza kutuambia ni lini na wapi Simba na Mo wametiliana saini makubaliano ya kuuziana hizo hisa?

Jee ni nani anaweza kusema hizo hisa 51% za wana Simba zinapatikanaje na ziko wapi? Kwa ivo hapa watu wanajadili kama vile suala la Mo kupewa 49% ya Klabu ya simba tayari limeshatokea lakini hata mchakato wenyewe bado kabisa kuanza.

Mchakato hauwezi kuanza kama thamani halisi ya Klabu haijulikani, na Mo alisema kuwa atawekeza bilioni 20 kwenye klabu lakini hakusema atatoa bilioni 20 kwa Klabu.

Kama Klabu ikithaminishwa na kuonekana ina thamani kubwa zaidi ya shilingi bilioni 44 basi Mo inabidi aongeze fedha anazotaka kuwekeza zifanane na thamani ya hisa za Klabu zilivyo.

Na ijulikane inawezekana baada ya tathimi ikaonekana Simba thamani yake ni shilingi bilioni 10 basi hata hizo bilioni 20 za Mo zitakuwa ni zaidi ya thamani ya Klabu.

Na kuna watu wanazungumzia mashabiki kama ni sehemu ya "mtaji" wa Klabu. Hivi shabiki ana ulazima gani wa kununua Jezi za Klabu? Nani anaweza kutuambia kwa hakika kwamba Mwaka jana Simba iliuza Jezi za shilingi ngapi kwa mashabiki wake?
 
Uwekezaji gani wa maneno na kurudi watu kwa pesa.

Club ya simba inawenyewe.. kama hataki kuweka hizo bil 20.. basi atuachie club yetu.
 
Uwekezaji gani wa maneno na kurudi watu kwa pesa.

Club ya simba inawenyewe.. kama hataki kuweka hizo bil 20.. basi atuachie club yetu.
Mtani mimi ni Yanga damu ila kama kuna mtu anaichukua Timu yetu awe analipa mishahara wachezaji na mashindano makubwa kama Klabu Bingwa Timu inafika mbali acha achukue tu maana sina hela hata ya kumlipa kipa tu siwezi kuendelea kupiga matarumbeta ya Timu ina wenyewe wakati sina mchango wowote kwenye Club yangu..
 
Mzee kilomoni yupo sahihi
IMG-20190607-WA0000.jpg
 
Ww bila shaka itakuwa ni kaka Dada!!kwa taarifa yako nina uhakika kabisa,shule nilizosoma, kwenye ukoo wako ukichanganya na ukoo wa mkeo hakuna mtu ambaye amewahi kuwaza kama anaweza kupata bahati ya kusoma hizo shule!!pili unaonekana kabisa ni maskini wa kutupwa,kama Mohammed kanyanganywa hayo mashamba kwann ujamwambia baba yako ayachukue akayaendeleze?? au baba yako nae ni mlemavu wa ubongo kama ww?!! Huna unachokijua kwenye ulimwengu wa biashara na uwekezaji kuku wa kitoweo ww.

Back
Top Bottom