Yaliyotokea UDA ndiyo yatakayoipata Simba.

Yaliyotokea UDA ndiyo yatakayoipata Simba.

Hakuna mkataba bali kuna Azimio la Mkutano Mkuu wa Simba. Ili mkataba uwepo ni lazima Klabu ya Simba ithaminishwe thamani yake ijulikane ili hiyo 49% ya hisa inayokusudiwa apewe Mo ijulikane thamani yake.

Mo alisema atawekeza kwenye Klabu ya simba shilingi Bilioni 20, hakusema atatoa shilingi bilioni 20 kununua hizo 49% ya Hisa.
Na sasa anasema ametoa bil 5 tuu
 
Na sasa anasema ametoa bil 5 tuu
Simba wametoa shilingi ngapi wakati yeye alipotoa hizo shilingi bilioni 5? Na yeye kasema hizo bilioni tano ni kwa ajili ya Hisa 49%?

Bilioni 5 zilizotolewa zimeleta faida ya shilingi ngapi au ni ngapi kati ya hizo zimerudi?
 
Back
Top Bottom