Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwa ivo faida za biashara zao si wanazitumia watakavyo?Hiyo pesa ya mishahara ni ndogo sana ulinganisha na faida katika biashara zao wanazo pata.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ivo faida za biashara zao si wanazitumia watakavyo?Hiyo pesa ya mishahara ni ndogo sana ulinganisha na faida katika biashara zao wanazo pata.
ilishuka daraja akakimbiaMO aliwah kumiliki singida united sielewi ilikuwaje akaitosa au kwa vile haina majengo nini
Hakukimbia bali aliona ni uwekezaji usiolipa!! Timu nyingi za mikoani watu wa huko hawazishabikii sana labda siku hizi Lipuli na zamani kidogo Mbeya City.ilishuka daraja akakimbia
Na sasa anasema ametoa bil 5 tuuHakuna mkataba bali kuna Azimio la Mkutano Mkuu wa Simba. Ili mkataba uwepo ni lazima Klabu ya Simba ithaminishwe thamani yake ijulikane ili hiyo 49% ya hisa inayokusudiwa apewe Mo ijulikane thamani yake.
Mo alisema atawekeza kwenye Klabu ya simba shilingi Bilioni 20, hakusema atatoa shilingi bilioni 20 kununua hizo 49% ya Hisa.
Simba wametoa shilingi ngapi wakati yeye alipotoa hizo shilingi bilioni 5? Na yeye kasema hizo bilioni tano ni kwa ajili ya Hisa 49%?Na sasa anasema ametoa bil 5 tuu
Na Africa Lyon alimuuzia ZamundaMO aliwah kumiliki singida united sielewi ilikuwaje akaitosa au kwa vile haina majengo nini