Yaliyotokea uwanja wa Soikoine yanaleta hasira na kichefu chefu

mbona jangwani pamejaa maji na tope

sijui huwa mnalalamikia nani, tope na mafuriko mlishayazoea na ndiyo maisha yenu
 
Tamasha la Wasafi ambao ni Simba. Mgeni rasmi Tulia ni Simba.
Majibu yapo wazi.
 
Anayelalamika hivi yeye mwenyewe kiwanja cha kuchezea rede hana,then unaita sokoine jaruba la mpunga.....

Vyura bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakazi wa Mbeya wamekosa nafasi ya kuishangilia timu yao ya Mbeya kwa sababu ya ccm kutaka kumtafutia Ubunge Dr Tulia? Yaani mapema namna hii Dr Tulia anaanza kuonyesha kujipenda mwenyewe kuliko wana Mbeya?
Kawadharau sana Mbeya! Kawaona kama hawana akili kabisa, na hili hawawezi kusahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Povu la nini? Kile sio kiwanja cha yanga wala prison wala cha tff. Eboh
 
Unaonaje ukielekea jukwaa la siasa...
 
Ni uwanja wao. Wakiamua wanajisaidia haja kubwa kwenye dimba la kati a hamna cha kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…