HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shangaa Sasa yanga wanalalama Kama hiyo mechi watacheza tu wenyewe?kwani yanga watacheza hiyo mechi pekee yao.?
mbona jangwani pamejaa maji na topeKilichotokea uwanja wa Sokoine Mbeya ni matusi, uonevu,kebehi,dharau,na manyanyaso kwa wapenda soka na michezo kwa ujumla.
CCM kwa makusudi huku wakijua kuwa Yanga watacheza mechi kesho tar.27/12/2019, jana wameruhusu kufanyika tamasha la mziki ndani ya uwanja huohuo ambao unasifa ya kuwa na matope km jaruba la mpunga. Tamasha lenyewe naskia lilikuwa la bure sasa kulikuwa na ulazma gani wa kufanya ndani ya uwanja?
Kwa picha nilizoziona uwanja haufai kabsa kuweza kuchezewa mechi ya hadhi ya ligi kuu kesho. Ntashangaa sn km timu zitaridhia kucheza kwenye hilo jaruba. Nitashangaa km Azam Media watakubali kuonyesha mpira kupitia television yao yenye viwango vya kimataifa.Ni aibu. Naskia hata waziri wa michezo Mwakyembe nae alikuwepo kwenye hilo tamasha. Sjui ataongea nn akisikia timu zimegoma kucheza!
Ndio maana huwa nafurahi timu ya Taifa ikifungwa,sababu ya huu usanii,upuuzi, na ubabaishaji unaoendelezwa kwa maksudi. Tukiwaambia waturudishie viwanja vyetu hawataki.
Wanaudhi sn hawa jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tamasha la Wasafi ambao ni Simba. Mgeni rasmi Tulia ni Simba.Kilichotokea uwanja wa Sokoine Mbeya ni matusi, uonevu,kebehi,dharau,na manyanyaso kwa wapenda soka na michezo kwa ujumla.
CCM kwa makusudi huku wakijua kuwa Yanga watacheza mechi kesho tar.27/12/2019, jana wameruhusu kufanyika tamasha la mziki ndani ya uwanja huohuo ambao unasifa ya kuwa na matope km jaruba la mpunga. Tamasha lenyewe naskia lilikuwa la bure sasa kulikuwa na ulazma gani wa kufanya ndani ya uwanja?
Kwa picha nilizoziona uwanja haufai kabsa kuweza kuchezewa mechi ya hadhi ya ligi kuu kesho. Ntashangaa sn km timu zitaridhia kucheza kwenye hilo jaruba. Nitashangaa km Azam Media watakubali kuonyesha mpira kupitia television yao yenye viwango vya kimataifa.Ni aibu. Naskia hata waziri wa michezo Mwakyembe nae alikuwepo kwenye hilo tamasha. Sjui ataongea nn akisikia timu zimegoma kucheza!
Ndio maana huwa nafurahi timu ya Taifa ikifungwa,sababu ya huu usanii,upuuzi, na ubabaishaji unaoendelezwa kwa maksudi. Tukiwaambia waturudishie viwanja vyetu hawataki.
Wanaudhi sn hawa jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Anayelalamika hivi yeye mwenyewe kiwanja cha kuchezea rede hana,then unaita sokoine jaruba la mpunga.....Kilichotokea uwanja wa Sokoine Mbeya ni matusi, uonevu,kebehi,dharau,na manyanyaso kwa wapenda soka na michezo kwa ujumla.
CCM kwa makusudi huku wakijua kuwa Yanga watacheza mechi kesho tar.27/12/2019, jana wameruhusu kufanyika tamasha la mziki ndani ya uwanja huohuo ambao unasifa ya kuwa na matope km jaruba la mpunga. Tamasha lenyewe naskia lilikuwa la bure sasa kulikuwa na ulazma gani wa kufanya ndani ya uwanja?
Kwa picha nilizoziona uwanja haufai kabsa kuweza kuchezewa mechi ya hadhi ya ligi kuu kesho. Ntashangaa sn km timu zitaridhia kucheza kwenye hilo jaruba. Nitashangaa km Azam Media watakubali kuonyesha mpira kupitia television yao yenye viwango vya kimataifa.Ni aibu. Naskia hata waziri wa michezo Mwakyembe nae alikuwepo kwenye hilo tamasha. Sjui ataongea nn akisikia timu zimegoma kucheza!
Ndio maana huwa nafurahi timu ya Taifa ikifungwa,sababu ya huu usanii,upuuzi, na ubabaishaji unaoendelezwa kwa maksudi. Tukiwaambia waturudishie viwanja vyetu hawataki.
Wanaudhi sn hawa jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa,wakati wenyewe wanaishi bwawani....poor frogMnatafuta kisingizio tu....matope si ndio sehemu yenu ninyi vyura...Ingieni uwanjani mcheze kabumbu
Haha wakafuge na kambare....
HahahahaaaaAnayelalamika hivi yeye mwenyewe kiwanja cha kuchezea rede hana,then unaita sokoine jaruba la mpunga.....
Vyura bwana
Sent using Jamii Forums mobile app
Du umenikumbusha mbali enzi zile za Kalagesye na Kana kansungu umwelu
... 🐸 🐸 🐸...hawa viumbe bhanaAnayelalamika hivi yeye mwenyewe kiwanja cha kuchezea rede hana,then unaita sokoine jaruba la mpunga.....
Vyura bwana
Sent using Jamii Forums mobile app
Povu la nini? Kile sio kiwanja cha yanga wala prison wala cha tff. EbohKilichotokea uwanja wa Sokoine Mbeya ni matusi, uonevu,kebehi,dharau,na manyanyaso kwa wapenda soka na michezo kwa ujumla.
CCM kwa makusudi huku wakijua kuwa Yanga watacheza mechi kesho tar.27/12/2019, jana wameruhusu kufanyika tamasha la mziki ndani ya uwanja huohuo ambao unasifa ya kuwa na matope km jaruba la mpunga. Tamasha lenyewe naskia lilikuwa la bure sasa kulikuwa na ulazma gani wa kufanya ndani ya uwanja?
Kwa picha nilizoziona uwanja haufai kabsa kuweza kuchezewa mechi ya hadhi ya ligi kuu kesho. Ntashangaa sn km timu zitaridhia kucheza kwenye hilo jaruba. Nitashangaa km Azam Media watakubali kuonyesha mpira kupitia television yao yenye viwango vya kimataifa.Ni aibu. Naskia hata waziri wa michezo Mwakyembe nae alikuwepo kwenye hilo tamasha. Sjui ataongea nn akisikia timu zimegoma kucheza!
Ndio maana huwa nafurahi timu ya Taifa ikifungwa,sababu ya huu usanii,upuuzi, na ubabaishaji unaoendelezwa kwa maksudi. Tukiwaambia waturudishie viwanja vyetu hawataki.
Wanaudhi sn hawa jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonaje ukielekea jukwaa la siasa...Wakazi wa Mbeya wamekosa nafasi ya kuishangilia timu yao ya Mbeya kwa sababu ya ccm kutaka kumtafutia Ubunge Dr Tulia? Yaani mapema namna hii Dr Tulia anaanza kuonyesha kujipenda mwenyewe kuliko wana Mbeya?
Kawadharau sana Mbeya! Kawaona kama hawana akili kabisa, na hili hawawezi kusahau
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni uwanja wao. Wakiamua wanajisaidia haja kubwa kwenye dimba la kati a hamna cha kufanya.Wakazi wa Mbeya wamekosa nafasi ya kuishangilia timu yao ya Mbeya kwa sababu ya ccm kutaka kumtafutia Ubunge Dr Tulia? Yaani mapema namna hii Dr Tulia anaanza kuonyesha kujipenda mwenyewe kuliko wana Mbeya?