maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,311
- 15,640
Anahuo muda wa kuwaza sasa..ni kutiririka tuHuyu maza...sijui huwa anawaza nn?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anahuo muda wa kuwaza sasa..ni kutiririka tuHuyu maza...sijui huwa anawaza nn?
Watu hawana shukrani🤣🤣🤣🤣🤣Hivi nini chema kwenu aisee. Yaani pamoja na malalamiko yote yale ya utumishi kweli mnalaumu Tena jamani
Mpaka wakaleta Uzi hapa "kwani utumishi wanachelewa kuita watu kazini"🤣🤣🤣🤣🤣Hivi nini chema kwenu aisee. Yaani pamoja na malalamiko yote yale ya utumishi kweli mnalaumu Tena jamani
Kama hujui kitu uliza usitake kujifanya mwerevu kumbe ni mweupe ibada ya mchana uliisikia wapi sabato inaanza ijumaa jioni mpk jmosi jioni hakuna kufanya kazi yoyote wewe hiyo ibada ya mchana umeitoa wapi usifananishe imani ya wasabato na wengineHoja ya kipuuzi sana, Kwanza sahili nyingi huwa ni siku za kazi jumatatu hadi ijumaa, Pili hata ikifanyika jumamosi kwa wasabato huwa kuna ibada ya mchana.
ANYWAY!!
NImegusia mambo mazito yanayohusu mustakabali wa raia asiye na connection kupata ajira..na si siku gani usaili ufanyike.
Unaweza kufanya Huo usaili siku tofauti na ya sabato lakini bado ukakumbana na ukiritimba wa mfumo.
Ungewashauri tume ya ajira iache urasimu haya yasingetokea.Mke: Mume wangu, mdogo wangu kile kipindi utumishi wanasimamia ajira hakupata kabisa.
Mme: Ni kweli utumishi walikuwa pasua kichwa, walituharibia sana, mambo ya connection yalipigwa panga.
Mke: Sasa Mama karuhusu Mashirika mjisimamie msaidie basi mdogo wangu.
Mme: Ondoa shaka, mdogo wako aombe tu, mengine ntamalizia
Nikiri kwamba kulikuwa na malalamiko ya utumishi kuchelewa kuita watu kazini ila ni vema hayo malalamiko yangefanyiwa kazi kuliko Rais kuruhusu taasisi ziajiri zenyewe,
Unadhani mabosi wataruhusu watoto wao ama ndugu zao wabaki mtaani kisha wewe usie na connection hata uwe na cheti kizuri upenye ? Ni ngumu sana hio!! Na ndio maana kulikuwa na utumishi ili kukabiliana na hili maana hata hao mabosi pamoja na elimu zao ni binadamu tena waafrika wenye utamaduni wa kuweka mbele watoto, ndugu, marafiki, watu wa kabila lao, dini yao, n.k.
Utumuishi pamoja na changamoto zake wengi tulijionea mambo ya connection yalipungua sana, watu hata waliotoka familia za chini ilikuwa kawaida sana wanapenya.
Ghafla mwezi wa pili Mama akatoa speech kwamba taasisi nazo waanze kujisimamia ajira, Balaa ndipo lilipoanzia hapa sasa linaloenda kuleta ubaguzi kwenye ajira.
Nimeona pia mitihani haifanywi sehemu moja ni mikoa tofauti tofauti, zamani wote mlikuwa mnaenda Dodoma ila kwa utaratibu huu mpya ni rahisi kuvuja mtihani.
Source"
Kuruhusu mashirika yajisimamie kwenye ajira badala ya utumishi
TRA Tangazo la kuitwa wenye Usaili
Kwani utumishi inasimamiwa na mashine?Mama hapo alikurupuka, kuna vigogo ndani ya TRA na nje ya tra waliotengeneza tatizo ili ionekane utumishi kuna shida. Mimi binafsi nimefanya kazi kwenye taasisi za serikali zinazoajiri zenyewe na zile zinazoajiri kupitia utumishi, nimeshuhudia undugunization wa hatari kwenye taasisi zinazoajiri wenyewe, kwa watoto wa mama ntilie nawataarifu tu kazi za TRA mtaishia kuziona kwenye matangazo tu, wale intake ya mwisho iliyobahatika kupenya kupitia utumishi ndio ilikuwa intake ya wasakatonge waliofunga mlango.
Mama samia nakuomba hili ulitizame kwa upana wake. Hapo TRA kuanzia mchakato wa kununua mfumo wa Ajira (takribani milion 700 imetumika) umegubikwa na ufisadi wa hali ya juu, fairness kwenye mchakato wa ajira kwa watanzania wasiokuwa na connection inakwenda kutoweka.
Suala la ajira kwenye taasisi/mashirika ya umma lisimamiwe na utumishi, inawezekana kuna mapungufu madogo madogo yapo utumishi nashauri ni vyema yangetatuliwa hayo luliko kuondoa kabisa mandate ya wao kufanya mchakato wa ajira kwa mashirika/taasisi za umma. Ni matumaini yangu utayasikiliza na kuyafanyia kazi haya. Bado haujachelewa.
KAma huna unachokijua kaa kimya mkuuKwani utumishi inasimamiwa na mashine?
Kama ni binadamu kwani heads wa utumishi na mashirika hawajuani.?
Kusema utumishi wanakuwa unbiased syo kweli
Hii ni awamu haramu ya uongozi na utawala. Maskini hamna chenu, zaidi ya njaa, kukosa na kaburi.Mke: Mume wangu, mdogo wangu kile kipindi utumishi wanasimamia ajira hakupata kabisa.
Mme: Ni kweli utumishi walikuwa pasua kichwa, walituharibia sana, mambo ya connection yalipigwa panga.
Mke: Sasa Mama karuhusu Mashirika mjisimamie msaidie basi mdogo wangu.
Mme: Ondoa shaka, mdogo wako aombe tu, mengine ntamalizia
Nikiri kwamba kulikuwa na malalamiko ya utumishi kuchelewa kuita watu kazini ila ni vema hayo malalamiko yangefanyiwa kazi kuliko Rais kuruhusu taasisi ziajiri zenyewe,
Unadhani mabosi wataruhusu watoto wao ama ndugu zao wabaki mtaani kisha wewe usie na connection hata uwe na cheti kizuri upenye ? Ni ngumu sana hio!! Na ndio maana kulikuwa na utumishi ili kukabiliana na hili maana hata hao mabosi pamoja na elimu zao ni binadamu tena waafrika wenye utamaduni wa kuweka mbele watoto, ndugu, marafiki, watu wa kabila lao, dini yao, n.k.
Utumuishi pamoja na changamoto zake wengi tulijionea mambo ya connection yalipungua sana, watu hata waliotoka familia za chini ilikuwa kawaida sana wanapenya.
Ghafla mwezi wa pili Mama akatoa speech kwamba taasisi nazo waanze kujisimamia ajira, Balaa ndipo lilipoanzia hapa sasa linaloenda kuleta ubaguzi kwenye ajira.
Nimeona pia mitihani haifanywi sehemu moja ni mikoa tofauti tofauti, zamani wote mlikuwa mnaenda Dodoma ila kwa utaratibu huu mpya ni rahisi kuvuja mtihani.
Source"
Kuruhusu mashirika yajisimamie kwenye ajira badala ya utumishi
TRA Tangazo la kuitwa wenye Usaili
Acha ujingaHao utumishi walituhujumu sana wasabato kila usaili wanapanga jumamosi licha ya malalamiko walitia pamba masikioni bora ilivyorudi hivi na shida kubwa ni kutaka kuwafanyisha watu wote sehemu moja tu hivyo kuwa ngumu kupata venue kuwaaccomodate wote kwa hiyo inabidi kuweka siku isiyo na kazi na hivyo kuiweka jmosi huu uamuzi upo sawa kbs utaondoa hiyo shida
Kama hujui kitu uliza usitake kujifanya mwerevu kumbe ni mweupe ibada ya mchana uliisikia wapi sabato inaanza ijumaa jioni mpk jmosi jioni hakuna kufanya kazi yoyote wewe hiyo ibada ya mchana umeitoa wapi usifananishe imani ya wasabato na wengine
Mbona kuna safari walipanga usaili jumapili, hapo ni sawa si ndio? Nyie na hilo dhehebu lenu mna mambo mengi sana amueni mojaHao utumishi walituhujumu sana wasabato kila usaili wanapanga jumamosi licha ya malalamiko walitia pamba masikioni bora ilivyorudi hivi na shida kubwa ni kutaka kuwafanyisha watu wote sehemu moja tu hivyo kuwa ngumu kupata venue kuwaaccomodate wote kwa hiyo inabidi kuweka siku isiyo na kazi na hivyo kuiweka jmosi huu uamuzi upo sawa kbs utaondoa hiyo shida
Kwa waliotoboa kupitia utumishi wanajua umuhimu wa Utumishi kwenye suala la ajiraKwa tuliotoboa utumishi kwa Nguvu za Mungu pekee bila kumjua yotote huko serikalini ndio tunaujua umuhimu wa hiyo tume, ni sio mmoja ni maelfu, hivyo kurudisha kwenye taasisi husika usaili wa ajira ni kipengele kutokana na kubebana kwa kujuana.
Hiyo ya sehemu husika ibaki internship na field tu