Yameanza Mbeya Leo. Kufikia Oktoba 29 watakimbia Ikulu.

Kwa ujumla hii serikali imejaa uovu na wananchi hawaitaki.

oktoba 29 wananchi wanareknew upya.

Sina mengi.
Wananchi wa wp ww mbona mimi naitaka hii serikali halafu hayo mambo ya kusemea na watu wengine hizo ni shobo angalia usije ukapakatwa
 
Kuna mgomo wa madereva daladala manispaa ya morogoro zinazotoka Mafiga kwenda Mkundi na Makunganya, umeanza jana, wananchi wanapata shida katika usafiri, niko kituoni hapa ni shida shana, kama kuna aliyeko kwenye jukwaa atufafanulie nini tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…