Yamemfika nini Aunty Ezekiel?

Yamemfika nini Aunty Ezekiel?

Dah mtoto yule mswahili balaa uyo aliyemleta sjui nani anampa jeuri mpaka kutoa tus zito namnaile

Amekulia kisarawe .....na kika mara huenda kusalimia...ndio km kijijin kwao naona
 
Sijaelewa.

Kuna clip moja imesambaa, Auntie anasikika akimtukana Bibie Nape Nnauyr matusi ya nguoni. Auntie alionekana kuchukizwa na maongezi fulani aliokuwa akisemwa kwenye group lao la whatssap na walimtaka ajitokeze ajibu.Ila akatuma voice Note.

Cha kustaajabisha Auntie amekanusha vikali na kuibebesha UKAWA lawama ya kutengeneza Sauti yake na kuilisha mitusi.
Kama UKAWA wana teknolojia kubwa namna ile, basi wanafaa kuwekwa madarakani haraka.

Najiuliza tu, Auntie ni nani katika siasa mpaka UKAWA waedit sauti yake, tena akitukana tu bila kuongea jambo lolote la msingi zaidi ya kumtukuza alompoleka?
 
Kwanini Auntie amtukane Nape matusi mazito hayo?
 
Kuna clip moja imesambaa, Auntie anasikika akimtukana Bibie Nape Nnauyr matusi ya nguoni kama vile mng.se na maku ya mamake, Auntie alionekana kuchukizwa na maongezi fulani aliokuwa akisemwa kwenye group lao la whatssap na walimtaka ajitokeze ajibu.Ila akatuma voice Note.
Cha kustaajabisha Auntie bi Matussi amekanusha vikali na kuibebesha UKAWA lawama ya kutengeneza Sauti yake na kuilisha mitusi.
Kama UKAWA wana teknolojia kubwa namna ile, basi wanafaa kuwekwa madarakani haraka
Najiuliza tu, Auntie ni nani katika siasa mpaka UKAWA waedit sauti yake, tena akitukana tu bila kuongea jambo lolote la msingi zaidi ya kumtukuza alompoleka.
Nape anastahili matusi yale.Heko Auntie.

Kumbe nawe una akili ndogo hivi..sasa tofauti yako na huyo aunty ni nini?
 
anasikika akimwambia nape naweza kuwasaliti na hamna cha kunifanya....then anasema hawezi kupangiwa cha kusema...kisha anajazia lugha za kichangudoa ile mbaya
 
Insta kwa kabikra wa fm kamtoa wapi sijui mtoto wa Aunt mweeeh...watu wapekenyuzi hatari
 
Aunt kama yupo vile....basi wasanii wetu wanahitaji msasa.....yale matusi ni balaa
 
Back
Top Bottom