tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,419
Dah mtoto yule mswahili balaa uyo aliyemleta sjui nani anampa jeuri mpaka kutoa tus zito namnaile
Amekulia kisarawe .....na kika mara huenda kusalimia...ndio km kijijin kwao naona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah mtoto yule mswahili balaa uyo aliyemleta sjui nani anampa jeuri mpaka kutoa tus zito namnaile
Umeshaambiwa ni tusi, sasa unataka la nini? Kama una hamu ya kutukanwa kamkanyage mpiga debe wa kituo cha daladala.
ana matusi kama nape hapo ngoma drooMdada ana matusi hata haya za akiba hana!
ana matusi kama nape hapo ngoma droo
Sijaelewa.
Umeshaambiwa ni tusi, sasa unataka la nini? Kama una hamu ya kutukanwa kamkanyage mpiga debe wa kituo cha daladala.
Kuna clip moja imesambaa, Auntie anasikika akimtukana Bibie Nape Nnauyr matusi ya nguoni kama vile mng.se na maku ya mamake, Auntie alionekana kuchukizwa na maongezi fulani aliokuwa akisemwa kwenye group lao la whatssap na walimtaka ajitokeze ajibu.Ila akatuma voice Note.
Cha kustaajabisha Auntie bi Matussi amekanusha vikali na kuibebesha UKAWA lawama ya kutengeneza Sauti yake na kuilisha mitusi.
Kama UKAWA wana teknolojia kubwa namna ile, basi wanafaa kuwekwa madarakani haraka
Najiuliza tu, Auntie ni nani katika siasa mpaka UKAWA waedit sauti yake, tena akitukana tu bila kuongea jambo lolote la msingi zaidi ya kumtukuza alompoleka.
Nape anastahili matusi yale.Heko Auntie.
Kumbe nawe una akili ndogo hivi..sasa tofauti yako na huyo aunty ni nini?
Dah mtoto yule mswahili balaa uyo aliyemleta sjui nani anampa jeuri mpaka kutoa tus zito namnaile
Aunt nampata sana kwa jeuri na matusi hafai kuigwa na hana lolote acha ahangaike na siasa za bongo.
Kumbe nawe una akili ndogo hivi..sasa tofauti yako na huyo aunty ni nini?
watajibebeba huu mwaka shetani kwao aseepale ndio inadhihirisha kwamba walinunuliwa coz anasikika akisema ...napangiwa cha kussema na aliye nileta.....
ni sheeda
kalikologa mwnyw ,kahama ktk chaguo la watu .nw kahamia choo cha kike,patamu hapooooAunt nampata sana kwa jeuri na matusi hafai kuigwa na hana lolote acha ahangaike na siasa za bongo.
kwan hilo picha la nape na aunt liliishaje,mbona hatupeani data zilizoshibaana matusi kama nape hapo ngoma droo