Yamenikuta leo Mama G

Kila mwanamke bahili[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahahahah yaan mim labda anunue mwingine tunywe hata nikipewa hiyo pesa siwezi nunua ntaenda nunua ya 15000,mpenzi huwa akiniambia kanywe kitu fulan baadae ananiuliza hivi umekunywa kweli nikianza kucheka tu anajua sijanywaa na kwelii

Wanawake sie ni bahili kuzidi hata wanaume
 
Hahaha ,we kiboko ,ofa yangu ni mguu kwa mguu hadi kaunta [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha ,we kiboko ,ofa yangu ni mguu kwa mguu hadi kaunta [emoji23] [emoji23]
G wangu hunitumia pesa ya kwenda kunywa sasa mi siku ingine siendi naenda movie ,akinipigia simu mpenzi leo umekunywa wine au whisky namjibu huku nacheka "ndio"sasa nashindwa kujizuia kucheka maana najua sijanywa ananiambia "mama sabrina mama sabrina acha uongo " basi akisema hivyo nitacheka namuambia kweli sijanywa nimeenda movie ,,ananiambia yaan mpenzi wangu we hata pesa ya kupewa unaifanyia ubahilo sikuweziiii[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha, sasa inabidi awe ananua na kukuwekea kwa fridge ,ila we utakua mchaga au mpare si kwa ubahili/bajeti hizo
 
Asee niwekee kilo moja roast arifu
 
Masista duu utawajua tu.
Nah nah...how do u take or think when see a lady hold that bottle? With such foams[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…