Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Siku nyingine weka,master bedroom ,hicho choo/bafu cha public muachie Dada/wageni ,hapo km Jirani anakuja kukuokoa si anaona mamboz na vituzi?Kungekuwa na camera inanichukua mngecheka mpaka mzimie acha tu
Master bedroom nawekaje mlango wa mbao chooni? Ni mwendo wa pazia ya plastic tu ukitoka kuoga kitandani [emoji23] [emoji23]Acha tu sasa kwanini usiweke mlango
Kumbe ana li wowowo[emoji23][emoji16][emoji3][emoji6]yaani wewe hapo uko uchi na weupe huo na wowowo hilooo
Niliubamiza kwa nguvu ukajilock mpaka kitasa kuchomoka ndio nikachokonoaa hapo baada ya kuhangaika sanaMama Sabrina
Mimi nilikuwa nasubiri kuona umeandika "nikaamka, kumbe ilikuwa ndoto mbaya tu"
Sasa mlango gani huo unajifungia kutoka ndani?
Juzi nilikuwa naangalia TV, kunamama kamfungia mtoto kwenye gari, ikabidi aite polisi wamsaidie kuvunja dirishana kumtoa mtoto, nikasema mimi garilangu siwezi kufunga milango mpaka niwe na funguo zangu nje.
Na milango ya nyumba ya ndani yote ukijifungia ndani maana yake huwezi kutoka na funguo unazo.
Wangefanya milango yote unafunga na funguo, ukiufunga kwa ndani unazo funguo, ukifunga kwa nje unazofunguo, kimbembe ukipoteza funguo. N ahapounatakiwauwe na funguo za akiba sehemu.
Ingekuwa mninga ungekuwaje na kuhusu kujilockUmekosea mlango wa chooni ni wa Mbao akioga Maji yanaumwagikia na yaonesha ni saipilasi si mninga. Aidha aliposafiri hakuacha mtu na anafagia kwa chelewa
SawaAngalau tafuta shamba boi awepo muda wote..
AhahahahhaahNawaza tu jinsi papuchi ilivyokuwa wakati unarusha mateke bu pole
Sina nna makalioKumbe ana li wowowo
Kujenga hivyo mpaka nyumba zetuSiku nyingine weka,master bedroom ,hicho choo/bafu cha public muachie Dada/wageni ,hapo km Jirani anakuja kukuokoa si anaona mamboz na vituzi?
Nami nimejua hivyoKumbe ana li wowowo
Mmm bafuni mtu unahitaji privacy bana akija mtu wako ukawa unaharisha kwa nguvu unafanyaje bora mlango ukiwepo unazuiaMaster bedroom nawekaje mlango wa mbao chooni? Ni mwendo wa pazia ya plastic tu ukitoka kuoga kitandani [emoji23] [emoji23]
Kwani za kupanga hkn za hivyo? OK nimekusomaKujenga hivyo mpaka nyumba zetu
Hahaha, master bedroom pia unaweza kujizua pia lkn,lkn poa nimekuelewa Rafiki, halafu umenichekesha eti ukiwa unaharisha [emoji23] [emoji23]Mmm bafuni mtu unahitaji privacy bana akija mtu wako ukawa unaharisha kwa nguvu unafanyaje bora mlango ukiwepo unazuia
Kabarikiwa mama sNami nimejua hivyo
[emoji2] [emoji2]Sina nna makalio
Nazani uliomba sala ya toba LeoAhahahahhaah
Hehehehehe acha mlango ukifunga kelele hazisikiki unafungulia na maji waaaaaaaHahaha, master bedroom pia unaweza kujizua pia lkn,lkn poa nimekuelewa Rafiki, halafu umenichekesha eti ukiwa unaharisha [emoji23] [emoji23]
Acha tuNazani uliomba sala ya toba Leo
Siku hizi sitaki kuishi peke yangu kwa sababu ya makero kwanza mm kwa kupoteza funguo sijambooo ndani nimewajaza watu nikienda nikirud nakuta kuna watuMimi si kujifungia, kuna siku nilisahau funguo kazini.Miakazaidi ya 10 imepita sasa.
Mwenyewe nimeweka funguo katika ki USB drive kina keyholder, sasa niko kazini nafanya nini kwenye computer, nikaunganisha USB drive yenye funguo kwenye computer. Nikaisahau.
Nimeenda mpaka nyumbani, nimefika mlangoni, najisachi, najikuta sina funguo.
Pale pale nikakumbuka funguo lazima zitakuwa na USB drive kwenye computer pale.
Sikuhiyo ilibidi niende kazini mara mbili na kurudi nyumbani mara mbili.
Maisha ya u bachelor, ukijifungia nje, hakuna wa kukufungulia, ikabidi nirudi tena kazini, nichukue ufunguo, nirudi tena nyumbani.
Kuanzia siku hiyo, nikitoka popote full check lazima, simu, wallet, funguo, kila kitu.