Mama Sabrina
Mimi nilikuwa nasubiri kuona umeandika "nikaamka, kumbe ilikuwa ndoto mbaya tu"
Sasa mlango gani huo unajifungia kutoka ndani?
Juzi nilikuwa naangalia TV, kunamama kamfungia mtoto kwenye gari, ikabidi aite polisi wamsaidie kuvunja dirishana kumtoa mtoto, nikasema mimi garilangu siwezi kufunga milango mpaka niwe na funguo zangu nje.
Na milango ya nyumba ya ndani yote ukijifungia ndani maana yake huwezi kutoka na funguo unazo.
Wangefanya milango yote unafunga na funguo, ukiufunga kwa ndani unazo funguo, ukifunga kwa nje unazofunguo, kimbembe ukipoteza funguo. N ahapounatakiwauwe na funguo za akiba sehemu.