Yamenikuta leo Mama G

Yamenikuta leo Mama G

Mama Sabrina

Mimi nilikuwa nasubiri kuona umeandika "nikaamka, kumbe ilikuwa ndoto mbaya tu"

Sasa mlango gani huo unajifungia kutoka ndani?

Juzi nilikuwa naangalia TV, kunamama kamfungia mtoto kwenye gari, ikabidi aite polisi wamsaidie kuvunja dirishana kumtoa mtoto, nikasema mimi garilangu siwezi kufunga milango mpaka niwe na funguo zangu nje.

Na milango ya nyumba ya ndani yote ukijifungia ndani maana yake huwezi kutoka na funguo unazo.

Wangefanya milango yote unafunga na funguo, ukiufunga kwa ndani unazo funguo, ukifunga kwa nje unazofunguo, kimbembe ukipoteza funguo. N ahapounatakiwauwe na funguo za akiba sehemu.
Niliubamiza kwa nguvu ukajilock mpaka kitasa kuchomoka ndio nikachokonoaa hapo baada ya kuhangaika sana
 
Umekosea mlango wa chooni ni wa Mbao akioga Maji yanaumwagikia na yaonesha ni saipilasi si mninga. Aidha aliposafiri hakuacha mtu na anafagia kwa chelewa
Ingekuwa mninga ungekuwaje na kuhusu kujilock
 
Master bedroom nawekaje mlango wa mbao chooni? Ni mwendo wa pazia ya plastic tu ukitoka kuoga kitandani [emoji23] [emoji23]
Mmm bafuni mtu unahitaji privacy bana akija mtu wako ukawa unaharisha kwa nguvu unafanyaje bora mlango ukiwepo unazuia
 
Mmm bafuni mtu unahitaji privacy bana akija mtu wako ukawa unaharisha kwa nguvu unafanyaje bora mlango ukiwepo unazuia
Hahaha, master bedroom pia unaweza kujizua pia lkn,lkn poa nimekuelewa Rafiki, halafu umenichekesha eti ukiwa unaharisha [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha, master bedroom pia unaweza kujizua pia lkn,lkn poa nimekuelewa Rafiki, halafu umenichekesha eti ukiwa unaharisha [emoji23] [emoji23]
Hehehehehe acha mlango ukifunga kelele hazisikiki unafungulia na maji waaaaaaa
 
Mimi si kujifungia, kuna siku nilisahau funguo kazini.Miakazaidi ya 10 imepita sasa.

Mwenyewe nimeweka funguo katika ki USB drive kina keyholder, sasa niko kazini nafanya nini kwenye computer, nikaunganisha USB drive yenye funguo kwenye computer. Nikaisahau.

Nimeenda mpaka nyumbani, nimefika mlangoni, najisachi, najikuta sina funguo.

Pale pale nikakumbuka funguo lazima zitakuwa na USB drive kwenye computer pale.

Sikuhiyo ilibidi niende kazini mara mbili na kurudi nyumbani mara mbili.

Maisha ya u bachelor, ukijifungia nje, hakuna wa kukufungulia, ikabidi nirudi tena kazini, nichukue ufunguo, nirudi tena nyumbani.

Kuanzia siku hiyo, nikitoka popote full check lazima, simu, wallet, funguo, kila kitu.
Siku hizi sitaki kuishi peke yangu kwa sababu ya makero kwanza mm kwa kupoteza funguo sijambooo ndani nimewajaza watu nikienda nikirud nakuta kuna watu
 
Back
Top Bottom