machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,225
- 5,055
Wadudu wakutosha mende wale wakubwa wausi warukaoHahahahahaha hukukutana na wadudu
Weka picha halaf acha kutag watuHapo huna la kufanya ila ingalikuwa yako ungebadilisha. Muulize Nyani Ngabu akueleze jinsi ilivyo lazima kwa nyumba, huko majuu kwao, mlango kufungikiwa nje baadala ya ndani kwa usalama. Aidha ukiwa na mlango wa nje ukafungukia nje, fatuma (nadhani unaelewa ile wezi wanakuja na jiwe kubwa kubamiza mlango) haiwezekani hadi mlango upasuke vipande. Kwa mlango unaofungukiwa nadani fatuma ni kama ugumu wa mkate kwa chai
HahahahahaNilipoga mikelele mpaka koo likakaua alafu hakuna maji mle zaidi ya mikojo ya panya
Binaa..hata Mimi kwa sasa nikijenga ya peke yangu ntweka ya njeTumejifunza nikijenga yangu nitaweka hiyo milango ya kufunga kwa nje ,jamani si mtuwekee hata picha [emoji23][emoji23][emoji23]
Wee mi niliogopa nyoka na nge ,tanduWadudu wakutosha mende wale wakubwa wausi warukao
Kaahh!waishi wapi huko hakuna watu itakua ushuani geti Kali!uswahilini DKK sifuri tu ushaokolewa!Nilipoga mikelele mpaka koo likakaua alafu hakuna maji mle zaidi ya mikojo ya panya
AhahahahahahaahKaahh!waishi wapi huko hakuna watu itakua ushuani geti Kali!uswahilini DKK sifuri tu ushaokolewa!
Yap hapa nimepata fundisho hata sikujuwa hilo aiseeBinaa..hata Mimi kwa sasa nikijenga ya peke yangu ntweka ya nje
Kijiji ilikua kipindi nko home saivi ninaishi changanyikeni arusha sinoni nilipiga chafya watu wanachungulia dirishani wanajua napiga mzigo!Kaahh!waishi wapi huko hakuna watu itakua ushuani geti Kali!uswahilini DKK sifuri tu ushaokolewa!
Mimi pia kilichokua kinanishangaza why milango yao inafunguliwa kwa nje ila jibu sipati ujue..kumbe wana strong reasons kufanya hvyoYap hapa nimepata fundisho hata sikujuwa hilo aisee
Sisi huki yote unafungua kwa ndaniMimi pia kilichokua kinanishangaza why milango yao inafunguliwa kwa nje ila jibu sipati ujue..kumbe wana strong reasons kufanya hvyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo sawa!!!usiombe upatwe na kadhia hyoo uko peke yako weee!Mimi mkono ulinasa kwenye geti vile muda wa kufungua tu DKK 5 nilihisi miaka 5 mawazo yakahama kabisaaKijiji ilikua kipindi nko home saivi ninaishi changanyikeni arusha sinoni nilipiga chafya watu wanachungulia dirishani wanajua napiga mzigo!
Weka picha halaf acha kutag watu
Ahaaaa nimeeelewa Jimmiebila hata picha... tengeneza tu picha kichwan mlango wa bafuni kwako ukiwa unaingia ukishafungua kitasa una push sasa weka kinyume yaani ungekuwa ukifungua kitasa unapull..
when u go in una pull and ukiwa unatoka una push
yaani hapo mateke mawili tu mlango unaachia
Mijoka,nge nk..mi nilikua siogopi niliogopa njaa na dehydration maana bi Mkubwa alikua kaenda dar kwa wifi yake kwa wiki mbili alafu home nilikua Mimi tu nguruwe,kuku,bwawa la samaki na ng'ombeWee mi niliogopa nyoka na nge ,tandu
Mmekuelewa kakaabila hata picha... tengeneza tu picha kichwan mlango wa bafuni kwako ukiwa unaingia ukishafungua kitasa una push sasa weka kinyume yaani ungekuwa ukifungua kitasa unapull..
when u go in una pull and ukiwa unatoka una push
yaani hapo mateke mawili tu mlango unaachia
haya yote yametokea GendaubwereAhaaaa nimeeelewa Jimmie
Gendaubwere ni wapi?haya yote yametokea Gendaubwere
Ni kweli hii mwanamke akiwa mtupuMwanamke yeyote akivua kaumbika [emoji6]
Ahaaaaaa duuu uliwasimulia walisikitika sana nadhaniMijoka,nge nk..mi nilikua siogopi niliogopa njaa na dehydration maana bi Mkubwa alikua kaenda dar kwa wifi yake kwa wiki mbili alafu home nilikua Mimi tu nguruwe,kuku,bwawa la samaki na ng'ombe
Yaani kwa ufupi tungedanja wote