Yamenikuta leo Mama G

Yamenikuta leo Mama G

Hapo huna la kufanya ila ingalikuwa yako ungebadilisha. Muulize Nyani Ngabu akueleze jinsi ilivyo lazima kwa nyumba, huko majuu kwao, mlango kufungikiwa nje baadala ya ndani kwa usalama. Aidha ukiwa na mlango wa nje ukafungukia nje, fatuma (nadhani unaelewa ile wezi wanakuja na jiwe kubwa kubamiza mlango) haiwezekani hadi mlango upasuke vipande. Kwa mlango unaofungukiwa nadani fatuma ni kama ugumu wa mkate kwa chai
Weka picha halaf acha kutag watu
 
Kijiji ilikua kipindi nko home saivi ninaishi changanyikeni arusha sinoni nilipiga chafya watu wanachungulia dirishani wanajua napiga mzigo!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo sawa!!!usiombe upatwe na kadhia hyoo uko peke yako weee!Mimi mkono ulinasa kwenye geti vile muda wa kufungua tu DKK 5 nilihisi miaka 5 mawazo yakahama kabisaa
 
bila hata picha... tengeneza tu picha kichwan mlango wa bafuni kwako ukiwa unaingia ukishafungua kitasa una push sasa weka kinyume yaani ungekuwa ukifungua kitasa unapull..

when u go in una pull and ukiwa unatoka una push

yaani hapo mateke mawili tu mlango unaachia
Ahaaaa nimeeelewa Jimmie
 
bila hata picha... tengeneza tu picha kichwan mlango wa bafuni kwako ukiwa unaingia ukishafungua kitasa una push sasa weka kinyume yaani ungekuwa ukifungua kitasa unapull..

when u go in una pull and ukiwa unatoka una push

yaani hapo mateke mawili tu mlango unaachia
Mmekuelewa kakaa
 
Mijoka,nge nk..mi nilikua siogopi niliogopa njaa na dehydration maana bi Mkubwa alikua kaenda dar kwa wifi yake kwa wiki mbili alafu home nilikua Mimi tu nguruwe,kuku,bwawa la samaki na ng'ombe
Yaani kwa ufupi tungedanja wote
Ahaaaaaa duuu uliwasimulia walisikitika sana nadhani
 
Back
Top Bottom