Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Siku nyingine usifunge mlango ukioga [emoji6]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan nilikuwa kituko wallahDuu!aise mkuu km nakuona vile ulivyokua unapiga mateke mlango huku ukiwa km ulivyozaliwa,pole san mkuu
Acha mama ile siku ndio nilijua mi ni mwanaume kweli embu fikiria mizoga ya panya imenizingira,joto Kali niko na boksa tu ile harufu ya chakula cha kitimoto, sins simu niko alone ila wazo lilinijia paapHahahahahahaha pole sana nacheka kama mazuri,,nilichukua ile mop ya kudekia nikaangalia hapo juu kwenye dari nikajisemea naweza kutana na nyoka hukp au nikaumwa na nge bure ,,umenichekesha kumbe we mwenzangu ulikaa sana
Nilichanganyikiwa weweUnatumia Nguvu nyingiii alafu Akili kiduchuu!!
Tatizo hilo
Hivyo siogopii angetokea nyoka ningezimiaBora umetoka salama maana sipati picha mlango umejifunga hivyo afu humo bafuni akatokea mjusi,mende au panya nadhani leo usingeweza kuandika hapa
Ahahahahaha hakuna kuficha sipendi mapenzi ya kufichapole sana dadake.
nilichojifunza mtu akipendwa na wewe dunia yooote itajua[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mama Sabrina
Sifungi tena aisee nimekoma hapa nilipo sina nguvu nimetumia nguvu sanaSiku nyingine usifunge mlango ukioga [emoji6]
Pole sana aisee,mi kidogo nilieAcha mama ile siku ndio nilijua mi ni mwanaume kweli embu fikiria mizoga ya panya imenizingira,joto Kali niko na boksa tu ile harufu ya chakula cha kitimoto, sins simu niko alone ila wazo lilinijia paap
kwa raha zako mamiiAhahahahaha hakuna kuficha sipendi mapenzi ya kuficha
Zote zimeishaa hapa nasubiri niangalie movie nikanywe bia mbili za bukiMama Sabrina pole sana naona hadi raha zote ulizopata kwenye dreamliner zinakapotea
Naomba kuuliza choo ni cha public yaani cha ndani lkn ni public Fulani hivi , au ,ulikua master bedroom? Km master bedroom mlango wa nn si unaweka plastic nyepesi ( cjui nimeeleweka)Sina hamu na kila kitu hapa ,,ni hivi nilikuwa nafanya usafi chumbani kwangu na kupanga kila kitu ila kuondoa vumbi nimemaliza nikawa nafanya usafi nyumba yote sasa hapo nawaza nikaangalie movie (mission impossible fallout)
nikamaliza kila kitu kikawa mahala pale,kuja kuangalia muda nikawa nimechelewa hiyo movie nikaona kuna muda mwingine ambayo ni saa 1 jioni hii nikasema fresh haina shida ntaenda muda huo ,G wangu akapiga simu tukaanza kuongea weeee tukajipa break maana yupo kazini, si nikasema niende kuoga nimeingia hivi nikaubamiza mlango nikaendelea kuoga ...
Kasheshe likaanza nataka nifungue mlango mamamaweee mlango haufunguki ,vuta vuta wapiiii nikaanza kuuvuta kwa chini hakuna ,,nikashika kitasa nikavuta wapii, nikaona nitoe taulo nitupe pembeni nikaona linanibana ,nimehangaika nyie niko peke yangu nyumba nzima mlango wa sebuleni nimeufunga kwa ndani,,nikawaza sasa hapa hata nikichungulia kwenye dirisha la bafuni nikaita mtu atapitaje wakati sebuleni kule nimefunga mlango ,nikakaa kwenye sinki nimekaa machozi kama yanataka kunitoka maana nimefanya vyote havijanisaidia ,,nikawaza jamani nani sasa atanisaidia simu zipo chumbani tena nimeacha zinalia muziki wa baila ,jamani nikainuka tena nikaanza kuvuta kitasa (nikaanza kupatia picha kama kwenye movie mtu akibomoa mlango)nikapiga teke wapii kumbuka hapo nipo uchi huku narusha mateke kuupiga mlango lakin holaaa.,
Nikajisemea alieniambia nije kuoga nanii jamani au uchawi huu,,kumbuka hapo nishaubamiza mlango kwa mateke na kuusukuma kwa nguvu ,kuvuta kitasa kikang'oka nikasema leo ni leo !!!!!!!![emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] hiii nikaweka taulo chini nikalikalia kabisa nikaanza kuwafikiria watu ninaowajua wangekuwa karibu wangenisaidia ,nimepata tabu leo ,
Nikasema sasa hapa nimeng'oa kitasa nafanyaje sasa nikanyanyuka tena piga teke ,sukuma ,bamiza mpaka mwili ukatoa jasho baadae nikaona nichukue kile kitasa pale pa kushikia nikapageuza ili nianze kung'oa kiubao kilikuwa kimeshikiwa pale kwenye eneo la kitasa bahati nzuri nikaweza kuving'oa baadhi nikaanza kuchokonoa mlango ukafunguka nikapumuua kwa nguvuu nikajimwagia maji halaf nikatoka ,sina hamu nako kabisa nimejilaza hapa nasubiria ifike saa 12 na nusu niondoke zangu nikazurure mall ...
Hapa mwili unanitetemeka ,vidole vimekosa nguvu ,miguu imechoka yaan nimefanya zoezi kwa lazima..
Basi bana ndio tabu ilonikuta muda si mrefu jamani hebu patia picha usingefunguka ingekuwaje G yupo mbali ningefanyaje majirani wasingenisikia kabisa labda wapita njia ambao siwafahamu
Jioni njema
Mi nyoka hata kumpiga siwezi ningezimiaMaana madem kwa kuogopa hao wadudu
Yaan ukiwa na mimi kila mtu anajua kama kuna michepuko ijue tu yenyewe ijifichekwa raha zako mamii
Uligoma haswa nikahisi labda uchawi sasaAisee pole..na kukaa kwako uchi bado mlango uligoma!!
[emoji12]Yaan ukiwa na mimi kila mtu anajua kama kuna michepuko ijue tu yenyewe ijifiche