witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Niachane na nani sasa RRONDO or wewe?Achana nae wity
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niachane na nani sasa RRONDO or wewe?Achana nae wity
Ndo G nini huyoo?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Achana nae wity
Na rrondo ahahaNiachane na nani sasa RRONDO or wewe?
Hapana sioNdo G nini huyoo?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeelezea vizuriiii namna ulivyo ila hujaelezea tu kama shanga zilikatika au laah wakati unahangaika kuufungua huo mlangoSina hamu na kila kitu hapa ,,ni hivi nilikuwa nafanya usafi chumbani kwangu na kupanga kila kitu ila kuondoa vumbi nimemaliza nikawa nafanya usafi nyumba yote sasa hapo nawaza nikaangalie movie (mission impossible fallout)
nikamaliza kila kitu kikawa mahala pale,kuja kuangalia muda nikawa nimechelewa hiyo movie nikaona kuna muda mwingine ambayo ni saa 1 jioni hii nikasema fresh haina shida ntaenda muda huo ,G wangu akapiga simu tukaanza kuongea weeee tukajipa break maana yupo kazini, si nikasema niende kuoga nimeingia hivi nikaubamiza mlango nikaendelea kuoga ...
Kasheshe likaanza nataka nifungue mlango mamamaweee mlango haufunguki ,vuta vuta wapiiii nikaanza kuuvuta kwa chini hakuna ,,nikashika kitasa nikavuta wapii, nikaona nitoe taulo nitupe pembeni nikaona linanibana ,nimehangaika nyie niko peke yangu nyumba nzima mlango wa sebuleni nimeufunga kwa ndani,,nikawaza sasa hapa hata nikichungulia kwenye dirisha la bafuni nikaita mtu atapitaje wakati sebuleni kule nimefunga mlango ,nikakaa kwenye sinki nimekaa machozi kama yanataka kunitoka maana nimefanya vyote havijanisaidia ,,nikawaza jamani nani sasa atanisaidia simu zipo chumbani tena nimeacha zinalia muziki wa baila ,jamani nikainuka tena nikaanza kuvuta kitasa (nikaanza kupatia picha kama kwenye movie mtu akibomoa mlango)nikapiga teke wapii kumbuka hapo nipo uchi huku narusha mateke kuupiga mlango lakin holaaa.,
Nikajisemea alieniambia nije kuoga nanii jamani au uchawi huu,,kumbuka hapo nishaubamiza mlango kwa mateke na kuusukuma kwa nguvu ,kuvuta kitasa kikang'oka nikasema leo ni leo !!!!!!!![emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] hiii nikaweka taulo chini nikalikalia kabisa nikaanza kuwafikiria watu ninaowajua wangekuwa karibu wangenisaidia ,nimepata tabu leo ,
Nikasema sasa hapa nimeng'oa kitasa nafanyaje sasa nikanyanyuka tena piga teke ,sukuma ,bamiza mpaka mwili ukatoa jasho baadae nikaona nichukue kile kitasa pale pa kushikia nikapageuza ili nianze kung'oa kiubao kilikuwa kimeshikiwa pale kwenye eneo la kitasa bahati nzuri nikaweza kuving'oa baadhi nikaanza kuchokonoa mlango ukafunguka nikapumuua kwa nguvuu nikajimwagia maji halaf nikatoka ,sina hamu nako kabisa nimejilaza hapa nasubiria ifike saa 12 na nusu niondoke zangu nikazurure mall ...
Hapa mwili unanitetemeka ,vidole vimekosa nguvu ,miguu imechoka yaan nimefanya zoezi kwa lazima..
Basi bana ndio tabu ilonikuta muda si mrefu jamani hebu patia picha usingefunguka ingekuwaje G yupo mbali ningefanyaje majirani wasingenisikia kabisa labda wapita njia ambao siwafahamu
Jioni njema
Sexy....Nah nah...how do u take or think when see a lady hold that bottle? With such foams[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1] duh!Mibia aaaaagh!...sijui naonaje kwa mdada!
Ndo G nini huyoo?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana sio
[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ili ulewe tu?jamanii65000
[emoji23] [emoji23]Masista duu utawajua tu.
Aaah okNa rrondo ahaha
Nikafikiri ndo shemu letu hilooHapana sio
Unakunywaga[emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1] duh!
[emoji23][emoji23]Nikafikiri ndo shemu letu hiloo
Nipe faraja nyokoloDuh hahahahahaha ila ww
Wine hulewi...stimu tuu[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ili ulewe tu?jamanii
SinaUmeelezea vizuriiii namna ulivyo ila hujaelezea tu kama shanga zilikatika au laah wakati unahangaika kuufungua huo mlango
Asee ....wee kiumbe upo?Duh hahahahahaha ila ww
Hahahahaha pole dear ....tushukuru hukulala huko hukoNipe faraja nyokolo