Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,442
sio lazima iwe pana.. au refu hapana yaan hata size ya kioo cha gari cha pembeni au hata size ya TV tuu.. inatosha sanaNishamtumia Mkuu ,nafumua ramani yote ,ili hili wazo lipate nafasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio lazima iwe pana.. au refu hapana yaan hata size ya kioo cha gari cha pembeni au hata size ya TV tuu.. inatosha sanaNishamtumia Mkuu ,nafumua ramani yote ,ili hili wazo lipate nafasi
hahahahahahahhaaNilichogundua ni kwamba kwanza ulisafiri .. Una nyumba..unapenda muvi za mapigano ...hauna time table specific unafanya fanya vitu kichwa chako kitakavyokutuma .... Unapenda kumsumbua mpenzi wako akiwa kazin kutafuta kipato... Una mlango wa chuma ... Taulo lako jeupe na linakubana bana sana una sinki mama ... Unapenda mziki wa baila .... Lakini kubwa kuliko yote [emoji24] huon aibu kukaa uchi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli kabisaa!wazungu na wahindi wanazk sana kwenye nyumba zaoSI UNAJUA MAJAMBAZI wa KIBONGO wakikukuta sebleni unaangalia TV wanakuambia hela iko wapi?? ukiwaambia ipo chumbani.. wanakuacha uende ukazilete... wakijua huwezi kutoroka.. kumbe ndani umeweka kijimlango chako huna habari yaani... wao wako bize wanakusubiri mwanaume upo zako polisi unachukua JAHAZI
Karibuuu!Najihisi new comer
Kaniambia jmos atanipa jibu vzrsio lazima iwe pana.. au refu hapana yaan hata size ya kioo cha gari cha pembeni au hata size ya TV tuu.. inatosha sana
Ulipotelea wapi bibieNajihisi new comer
HoneymoonUlipotelea wapi bibie
Hahaha, nilishakuelewa sana ,umenikumbusha 007SI UNAJUA MAJAMBAZI wa KIBONGO wakikukuta sebleni unaangalia TV wanakuambia hela iko wapi?? ukiwaambia ipo chumbani.. wanakuacha uende ukazilete... wakijua huwezi kutoroka.. kumbe ndani umeweka kijimlango chako huna habari yaani... wao wako bize wanakusubiri mwanaume upo zako polisi unachukua JAHAZI
Hongera sanaHoneymoon
Shukrani.Hongera sana
Karibu tenaShukrani.
SawaaFAKE inakuja pale sisi wageni tunaamini kuwa nyumba nzima kingo zake ni zimejengwa kwa TOFALI.. kumbe kuna sehemu mwenye nyumba (FAMILIA pekee) wanajua kuwa kuna material mepesi yamejengewa means ukitumia nguvu kupita unapitiliza hadi nje.. au unaweza kufungua kwa kutegua kibao au wengine kwa USIRI zaidi huwa wanaweka kabati mbele ya fake wall au wanaweka PICHA kubwa mbele yake.. ikitokea la kutokea anashusha picha anapita na teke kidogo tu..(kama hana muda wa kutegua kibao au kiloki)
mie nimepanga fake door yangu naisetia CHUMBANI.. katika kabati la nguo.. nyuma yake naiweka hiyo exit way.. means nafungua kabati najifungia ndani ya kabati.. natekenya kijiukuta changu cha mbao.. kinaporomoka natoka zangu nje... MIJAMBAZI/MOTO/FUMANIZI vyote naepuka kirahisi...
Kali yakeSI UNAJUA MAJAMBAZI wa KIBONGO wakikukuta sebleni unaangalia TV wanakuambia hela iko wapi?? ukiwaambia ipo chumbani.. wanakuacha uende ukazilete... wakijua huwezi kutoroka.. kumbe ndani umeweka kijimlango chako huna habari yaani... wao wako bize wanakusubiri mwanaume upo zako polisi unachukua JAHAZI
Ni kweli inahitaji akili tulivu zaidi ya mashaka. Nayaona yale ya ndugu yalikuwa mashaka hofu na wasiwasi. Nilikuwa hotelini ghorofa ya juu. Nikaenda bafuni kuoga. Milango ni ile ya kuteleza. Bafu ina pangaboi la kuingiza hewa. Ukiwasha taa nalo linawaka. Sikuwasha nilipoongia maana taa za "corridor" kuelekea mlangoni zilikuwa inawaka na kutupa mwanga bafuni. Bafu upande wa mlango ni vioo tupu "aluminium" (isiyopenyeza macho kuona upande wa pili). Ukifunga mlango wa bafu hupati hewa ikiwa pangaboi halitembei. Wakati naoga sikuufunga mlango wa bafu (ule wa aluminium wa kuteleza). Mlango ulikuwa umefunguka kwa nusu. Hivyo sikuona shida ya kupumua. Nilipomaliza nikataka kuufungua wazi wote yaani kuufikisha mwisho wa reli yake. Hapo ndipo shida ilipoanza. Nilipokuwa namalizia kuufunga ili utembee katika reli yake vizuri, mlango ukajifunga. Ukajibana. Ukagoma kufunguka. Hewa sasa haipiti. Pangaboi haliwaki. Mwanga umepungua. Nika-"panic!". Nikapiga ukuta wa chumba kwa upande wa bafu labda mfanyakazi akipita hapo atasikia. Kuvunja vioo vile vigumu sitaki. Nilijua sitaweza bila kujijeruhi na kudaiwa baadaye na hoteli.Kisha nikasema moyoni: "tuliza akili Mgileadi." Nikajua nina dakika chache za kupumua na hewa iliyomo itakwisha. Nikainama kwenye zile reli nikaunyoosha ule mlango uliojikita mahali nikaufungua. Nikapumua kweli kama dakika 5 hivi.Unatumia Nguvu nyingiii alafu Akili kiduchuu!!
Tatizo hilo