Yamenikuta leo Mama G

Yamenikuta leo Mama G

Nilichogundua ni kwamba kwanza ulisafiri .. Una nyumba..unapenda muvi za mapigano ...hauna time table specific unafanya fanya vitu kichwa chako kitakavyokutuma .... Unapenda kumsumbua mpenzi wako akiwa kazin kutafuta kipato... Una mlango wa chuma ... Taulo lako jeupe na linakubana bana sana una sinki mama ... Unapenda mziki wa baila .... Lakini kubwa kuliko yote [emoji24] huon aibu kukaa uchi
hahahahahahahhaa
 
SI UNAJUA MAJAMBAZI wa KIBONGO wakikukuta sebleni unaangalia TV wanakuambia hela iko wapi?? ukiwaambia ipo chumbani.. wanakuacha uende ukazilete... wakijua huwezi kutoroka.. kumbe ndani umeweka kijimlango chako huna habari yaani... wao wako bize wanakusubiri mwanaume upo zako polisi unachukua JAHAZI
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli kabisaa!wazungu na wahindi wanazk sana kwenye nyumba zao
 
SI UNAJUA MAJAMBAZI wa KIBONGO wakikukuta sebleni unaangalia TV wanakuambia hela iko wapi?? ukiwaambia ipo chumbani.. wanakuacha uende ukazilete... wakijua huwezi kutoroka.. kumbe ndani umeweka kijimlango chako huna habari yaani... wao wako bize wanakusubiri mwanaume upo zako polisi unachukua JAHAZI
Hahaha, nilishakuelewa sana ,umenikumbusha 007
 
FAKE inakuja pale sisi wageni tunaamini kuwa nyumba nzima kingo zake ni zimejengwa kwa TOFALI.. kumbe kuna sehemu mwenye nyumba (FAMILIA pekee) wanajua kuwa kuna material mepesi yamejengewa means ukitumia nguvu kupita unapitiliza hadi nje.. au unaweza kufungua kwa kutegua kibao au wengine kwa USIRI zaidi huwa wanaweka kabati mbele ya fake wall au wanaweka PICHA kubwa mbele yake.. ikitokea la kutokea anashusha picha anapita na teke kidogo tu..(kama hana muda wa kutegua kibao au kiloki)

mie nimepanga fake door yangu naisetia CHUMBANI.. katika kabati la nguo.. nyuma yake naiweka hiyo exit way.. means nafungua kabati najifungia ndani ya kabati.. natekenya kijiukuta changu cha mbao.. kinaporomoka natoka zangu nje... MIJAMBAZI/MOTO/FUMANIZI vyote naepuka kirahisi...
Sawaa
 
SI UNAJUA MAJAMBAZI wa KIBONGO wakikukuta sebleni unaangalia TV wanakuambia hela iko wapi?? ukiwaambia ipo chumbani.. wanakuacha uende ukazilete... wakijua huwezi kutoroka.. kumbe ndani umeweka kijimlango chako huna habari yaani... wao wako bize wanakusubiri mwanaume upo zako polisi unachukua JAHAZI
Kali yake
 
Unatumia Nguvu nyingiii alafu Akili kiduchuu!!

Tatizo hilo
Ni kweli inahitaji akili tulivu zaidi ya mashaka. Nayaona yale ya ndugu yalikuwa mashaka hofu na wasiwasi. Nilikuwa hotelini ghorofa ya juu. Nikaenda bafuni kuoga. Milango ni ile ya kuteleza. Bafu ina pangaboi la kuingiza hewa. Ukiwasha taa nalo linawaka. Sikuwasha nilipoongia maana taa za "corridor" kuelekea mlangoni zilikuwa inawaka na kutupa mwanga bafuni. Bafu upande wa mlango ni vioo tupu "aluminium" (isiyopenyeza macho kuona upande wa pili). Ukifunga mlango wa bafu hupati hewa ikiwa pangaboi halitembei. Wakati naoga sikuufunga mlango wa bafu (ule wa aluminium wa kuteleza). Mlango ulikuwa umefunguka kwa nusu. Hivyo sikuona shida ya kupumua. Nilipomaliza nikataka kuufungua wazi wote yaani kuufikisha mwisho wa reli yake. Hapo ndipo shida ilipoanza. Nilipokuwa namalizia kuufunga ili utembee katika reli yake vizuri, mlango ukajifunga. Ukajibana. Ukagoma kufunguka. Hewa sasa haipiti. Pangaboi haliwaki. Mwanga umepungua. Nika-"panic!". Nikapiga ukuta wa chumba kwa upande wa bafu labda mfanyakazi akipita hapo atasikia. Kuvunja vioo vile vigumu sitaki. Nilijua sitaweza bila kujijeruhi na kudaiwa baadaye na hoteli.Kisha nikasema moyoni: "tuliza akili Mgileadi." Nikajua nina dakika chache za kupumua na hewa iliyomo itakwisha. Nikainama kwenye zile reli nikaunyoosha ule mlango uliojikita mahali nikaufungua. Nikapumua kweli kama dakika 5 hivi.
 
Back
Top Bottom