Nyambura karibu sana kaka. Pole saana kwa tatizo lako, kutokana na opinion yangu inayotokana na the fact kua umetaja madhaifu ya mke wako mengi ambayo kweli si mazuri na bahati mbaya zaidi ni ya msingi sana for a marriage to survive. Ukilazimisha kua na huyo mke wako ujue kwamba familia yako automatically itajitenga from your whole family which is very bad. Siri ya mwanaume kua na amani katika ndoa yake ni kuoa mwanamke mwenye busara na ufikiri na hata akikosa hivyo walau awe sensitive. Una bahati its not too late mana hana mtoto, umejua tabia yake ni mbovu, ni jeuri (why would you want such a woman; stress za kazini utamplekea nani?) . Siwezi kukuambia muache lakini kaka tafadhali tafakari. Alafu huyo mtoto ukirudi mlete town, mpe access ya vitu ambavyo hawezi pata kijijini kwani ulimwengu umebadilika mno Ignorance haina nafasi.
Mpendwa Asha D,
Nakushukuru sana kwa ushauri wako mzuri, naamni wazi kuwa ushauri wako na wadau wengine pia wote utanisaidia. Kiukweli inaniuma sana mtu unayempenda na kumfanyia kila litu stil haonji hata chembe kama unampenda na zaidi ni kukuumiza na kukuletea dharau tele. Any way, nakushukuru mammy!
And pleeease I believe you are young, hutakua affected kivile mkigawana hivyo vitu, to me i know its worth it